Hatimaye Samsung na LG wasitisha kuiuzia Huawei vioo 'screen panel displays'

Asilimia 80 ya hightech science and research work nchini Marekani zinatoka kwa raia wenye asili ya China na India. Prof. Michio Kaku wa US huwa analizungumza sana.

China alinyimwa kujiunga na space station miaka ya 90 kama sijakosea. Akaanzisha space program ya kwake. Matokeo yake ikawa ndiyo nchi ya kwanza duniani kufika the dark side ya mwezi na kuipiga picha hali ya kuwa NASA hawakuwahi kufika kwani picha ya mwezi wa dunia iliyokuwa inayoonyeshwa siku zote ni ya upande mmoja.

China ilitishiwa kutotumia GPS matokeo yake ana ya kwake BDS ambayo inasemekana ipo vizuri kuliko GPS. Kadri Mchina anavyobanwa ndivyo kadri inavyoonyesha anazidi kujisimamia wenyewe. Huawei hatujui sasa hivi maabara anafanya nini zaidi zinazosikika zaidi ni habari za kuzidi kuwekewa vikwazo.

Kingine hivi vikwazo havimuumizi Huawei tu bali makampuni ya Marekani yanaumia zaidi kwa sababu kumpoteza mteja pekee ambaye anakuingizia mpaka dola billioni 8 si kitu cha masihara. Sasa hiyo fidia itafidiwa vipi?! Na kingine ni kwamba Huawei hatokuwa partner kwao tena bali atakuwa ni mshindani haswaa!

Samuel P. Hantington kwenye kitabu cha clashes of civilisation kuna very wise na accurate quote inayosema "The west won the world not by the superiority of its ideas or value or religion but rather by its superiority in applying organised violence. Westerners often forget this fact, non westerners never do".

Marekani ameshachelewa kwa Mchina!Kibaya zaidi raia waowameshaanza kuchoka na hizo siasa mara Mchina mbaya mara Mrusi mbaya. Watu wanataka washirikiane wapige kazi na waifanye dunia iwe sehemu salama.

wenzako wanaangalia maslahi katika namna pana sana sio faida peke yake.

samsung ni kampuni la kikorea,lakini vile linakwenda sawa na matakwa ya mwenye mbwa basi mambo ni bam bam.naan hizo ndio biashara.

mchina alianza kutahadhalishwa muda mrefu sana,kama angekiwa mjanja sana angebadiri gear angani mambo yangekuwa mambo.tutammiss sana.
na ubaya tech ya simu hairuhusu kukaa kando ukajipange,ukitolewa imekula kwako.
 
Bila shaka unajibu kulingana na hii habari ya huu uzi. Sidhani kama unajibu kwa masuala jinsi yalivyo na yanavyokwenda.
 
China hana uwezo kupiga chini products za kimarekani kwa sababu ya joint Ventures na makampuni ya kichina. Makampuni mengi ya China yanategemea makampuni ya kimarekani kwa ajili ya teknolojia, mitaji na kila kitu.

Huoni sasa hivi hayo makampuni yanahama? China ingekua ndio soko la Dunia basi wasingehama. Miaka 5 ijayo makampuni mengi yatakua India ama nchi nyingine za south asia.

Kuungana kuachana na USA ni ndoto za mchana. Mfano Tanzania tuachane na USA si njaa itatuua?

Marekani angalau ni reliable, kuna clear checks and balances, sio China. Angalia isingekua ujinga wa China tusingekua tunaishi haya maisha leo. Walificha ficha sana kuhusu corona ona walipotufikisha sasa na hili ni kirusi lao.
Mchina katusaidia sana, zamani tv mpaka tufuate Zanzibar lakin sikuhizi k/koo zipo za kumwaga bei chee.
 
Asilimia 80 ya hightech science and research work nchini Marekani zinatoka kwa raia wenye asili ya China na India. Prof. Michio Kaku wa US huwa analizungumza sana.

China alinyimwa kujiunga na space station miaka ya 90 kama sijakosea. Akaanzisha space program ya kwake. Matokeo yake ikawa ndiyo nchi ya kwanza duniani kufika the dark side ya mwezi na kuipiga picha hali ya kuwa NASA hawakuwahi kufika kwani picha ya mwezi wa dunia iliyokuwa inayoonyeshwa siku zote ni ya upande mmoja.

China ilitishiwa kutotumia GPS matokeo yake ana ya kwake BDS ambayo inasemekana ipo vizuri kuliko GPS. Kadri Mchina anavyobanwa ndivyo kadri inavyoonyesha anazidi kujisimamia wenyewe. Huawei hatujui sasa hivi maabara anafanya nini zaidi zinazosikika zaidi ni habari za kuzidi kuwekewa vikwazo.

Kingine hivi vikwazo havimuumizi Huawei tu bali makampuni ya Marekani yanaumia zaidi kwa sababu kumpoteza mteja pekee ambaye anakuingizia mpaka dola billioni 8 si kitu cha masihara. Sasa hiyo fidia itafidiwa vipi?! Na kingine ni kwamba Huawei hatokuwa partner kwao tena bali atakuwa ni mshindani haswaa!

Samuel P. Hantington kwenye kitabu cha clashes of civilisation kuna very wise na accurate quote inayosema "The west won the world not by the superiority of its ideas or value or religion but rather by its superiority in applying organised violence. Westerners often forget this fact, non westerners never do".

Marekani ameshachelewa kwa Mchina!Kibaya zaidi raia waowameshaanza kuchoka na hizo siasa mara Mchina mbaya mara Mrusi mbaya. Watu wanataka washirikiane wapige kazi na waifanye dunia iwe sehemu salama.
Umechambua kwa mahaba sana

Huwezi fananisha beidou Na GPS. At least ungeitaja glonass ya warusi sio ya mchina.
 
Back
Top Bottom