Hizi ban za huawei kuna makampuni yanaugulua maumivu ya kufa mtu.
Google, Qualcomm, Samsung, TSMC na LG ni waathirika wakubwa, hasara ni kubwa kwao.
Qualcomm wameshindwa kuvumilia kabisa na wanatafuta namna ya kuwauzia huawei chip zao za 5G
Qualcomm lobbies U.S. to sell chips for Huawei 5G phones: WSJ
Mkumbuke China ni mteja mkubwa chip duniani karibu 85%, Simu nyingi za android ni zimeuundwa china, Google hawezi furahia kupoteza patna namba mbili kwa uzalishaji wa simu duniani.
Hii mpaka mwisho siku naiona china ikiboresha uundwaji wa chip ndani ya miaka ijayo, japokuwa china bado wapo nyuma maana kampuni yenye uwezo wa kutengeneza chip china cip zao zinaishia 14nm.