Hatimaye selection zimeanza kutoka kwa baadhi ya vyuo

Hatimaye selection zimeanza kutoka kwa baadhi ya vyuo

Dah hata mimi nimeona kufikia jumatano kila mtu atakuwa amejua anaenda wapi.
 
Check out list of selected student on CBE website www.cbe.ac.tz

Duuh.. Hii ya Ukwelli afande nilifikir ni zile blah blah.. But mpk post zikitoka nina degree moja naenda chukua ya pili.. Presha ninayoipata ni zaidi ya Degree.. Na kule heslb ndio chenga hakueleweki..
 
Back
Top Bottom