Hatimaye serikali kuajiri walimu 34000 Mwezi huu April 2015

Wivu waache watu waajiriwe we unafkri kukaa mtaan bila kaz ni nzru wakt watz wengi wameandaliwa for office works
 
Watalam wa maabara 10,000 then walimu 24,000, bado shida ipo watu watalia humu, make certficate wapo 10,000+, diploma 6000+ bachelor sijui but randomly ni 20,000+ make saut na vyuo vyake vishiriki ni more than 10,000+.........
 
duuh! kwa takwimu hizo shida ipo, lkn kibal kimetoka kweli ofc ya rais ?
me cjasoma hili gazet maana magazet ya kibongo title na mainbody ni tofaut sana,
je kweli ni mwez huu wa4 maana wengine tuna interview kesho jmoc, daah mbona wanachezea brain zetu.
 
Watalam wa maabara 10,000 then walimu 24,000, bado shida ipo watu watalia humu, make certficate wapo 10,000+, diploma 6000+ bachelor sijui but randomly ni 20,000+ make saut na vyuo vyake vishiriki ni more than 10,000+.........

hapa kuna kundi litaachwa, vp hilo gazet umelixoma ndani
 
Watalam wa maabara 10,000 then walimu 24,000, bado shida ipo watu watalia humu, make certficate wapo 10,000+, diploma 6000+ bachelor sijui but randomly ni 20,000+ make saut na vyuo vyake vishiriki ni more than 10,000+.........

Acha kuvunja mioyo watu ajira zipo
 
Kwa mujibu wa mwandishi, utumishi wamepokea ombi la kuajiri walimu 34 elfu, but inapitia ombi hilo na imeahidi kutoa kibali ndani ya siku 2.
 
Watalam wa maabara 10,000 then walimu 24,000, bado shida ipo watu watalia humu, make certficate wapo 10,000+, diploma 6000+ bachelor sijui but randomly ni 20,000+ make saut na vyuo vyake vishiriki ni more than 10,000+.........

Kwan ndugu mbona upo wired kuvunja watu mioyo niliangalia comments zako nyingi ilipowekwa thread 'Serikali imefuta ajira za walimu' ulionekana kufurahi sn na kushadadia sijui kwanin? Leo imekuwa tofauti Serikali ime confirm itaajiri, umeanza tena kuja na takwimu zisizo za hata za kisomi kabisa e.g (10,000+) mara wengine wataachwa mimi bado sijakuelwa! Waache jamaa wakatumikie taifa kama huna ajira umiza kichwa utatoka tu ila usi discourage hao jamaa na ajira zao.
 
duuuh!! lets wait maana siasa za bongo had ktk mambo ya muhimu bado mapuuza mengi
 
Acha kuvunja mioyo watu ajira zipo

This the Fact my dear,, its better we adjust our self psychologically!. Last season 30000+ were employed and more thn 2500 waliachwa kulikua na sec round, sooo sio kukatisha tamaa bt yyte anaweza kua Mhanga
 
Nimefanya Estimation Mkuu,, but bear in Mind last season 2500 waliachwa, and seson hii wahitimu wapo more than 40,000 wahitimu wa shahada ni wengi zaidi chunguza then prove me wrong
 
Pia mwaka jana Waliajiriwa walimu 36021.,tu mwaka huu ni walimu 24000 tu, 10000 ni wataalam wa maabara(lab technician) hawa sio walimu,,, beliave me or not ma elfu tutatemwa....
 
Bado kazi ipo, maana watakao kosa ajira ni wengi kwa data hizo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…