Hatimaye serikali kuajiri walimu 34000 Mwezi huu April 2015

Hatimaye serikali kuajiri walimu 34000 Mwezi huu April 2015

Diploma waliofaulu ni 4161.

cheti ni 10685.

jumla ni 14456 yaani cheti na diploma
 
gazeti tz daima linasema walimu 34elfu lakin Jana Chanel ten habar mheshimiwa kasema 31..duuhhh
 
Sijaona gazet lililoandika ivo leo

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Ikifika tar20hamjatoa majina nakunywa sumu
 
Sisi walimu hadi raha one way kwenye ajira may so mbali mwalimu hoyeee!!!

Hebu tuondolee hizi propaganda za ccm. Kwani mmeisha timiza ahadi ngapi toka mmeanza kuzitoa. Nyie walimu msidanganyike mkabweteka mkidhani tatizo limekwisha. Jana nimeangalia kipindi cha uswazi chanel 5 cha Zembwera, wananchi waliokumbwa na mafuriko buguruni huko walipata "bahati" ya kutembelewa na mheshimiwa raisi, JK. Mkuu wa nchi akatoa ahadi (kumbuka ahadi ni deni) ya kupeleka msaada wa chakula kwa wahanga hao. Taarifa za ufuatiliaji za Zembwera zimethibitisha kuwa wananchi hao wamepewa silesi za mikate na wengine chupa ya juice, imagine!

Hebu badirisheni kauli kutoka kwenye "tuta..." kwenda kwenye "tume.." tumechoka na ahadi za kitotokitoto hizo.
 
Mnasahau katika graduate kuna inservice, takwimu zenu zote uongo. Mnajua graduate waliotoka makazini?
Primary teachers waliorudi kazini after kugraduate?
Kada nyingine waliosoma education na hawaku-apply ualimu?
Waliosup na carry semester ya sita na walikuwa wamesha-apply hawataajiriwa.?
Hao wote wanafikia 20+ . Hebu fikiri, walimu grade A walio diploma graduate wamerudi kazini, diploma walio graduate BA wamerudi kazini.
So sio graduate wote wanasubiri ajiri za first appointment.
NIMEMALIZAAAAAAAAAAA
 
Pia mwaka jana Waliajiriwa walimu 36021.,tu mwaka huu ni walimu 24000 tu, 10000 ni wataalam wa maabara(lab technician) hawa sio walimu,,, beliave me or not ma elfu tutatemwa....

Tena nyie walimu mnaoichimba mkwara serikali ya ccm humu JF msahau hiyo ajira.
 
Takwimu ya waliosapp mwaka 2013 wanahesabika kama wahitimu wa 2014 baada ya kuchomoa kwani hata vyeti vyao vimeandikwa amemaliza 2014.
 
Back
Top Bottom