Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi wataalam wa maabara na walimu wa science ni tofauti?
gazeti tz daima linasema walimu 34elfu lakin Jana Chanel ten habar mheshimiwa kasema 31..duuhhh
hzo nafas za maabara wanapatikana vp? Wataomba ama?
diploma wapo 4161
Sisi walimu hadi raha one way kwenye ajira may so mbali mwalimu hoyeee!!!
Nimelipitia mkuu,, kwa ufupi ajira ni mwezi huu na ofisi ya Rais inapitia imeahidi kutoa kibali ndani ya 2days...
Soma hii 👆👆👆👆Diploma waliofaulu ni 4161.
cheti ni 10685.
jumla ni 14456 yaani cheti na diploma
Pia mwaka jana Waliajiriwa walimu 36021.,tu mwaka huu ni walimu 24000 tu, 10000 ni wataalam wa maabara(lab technician) hawa sio walimu,,, beliave me or not ma elfu tutatemwa....
Nijuavyo mimi ajira zimesitishwa had hapo yatakapoonekana mahitaji😕