Hatimaye serikali kuajiri walimu 34000 Mwezi huu April 2015

tatizo watanzania 2napenda kusikia v2 vitakavyo 2 pleas hata ka ni uongo, dat the fact,, subir mzgo utoke ndo ubishe,,,au argue kwa hoja bac na proof anapokoxea mwnzio upaweke xawa

Labda hao unaowazungumzia ni waTZ wa nyumbani kwako, sisi wengine humu JF tunataka kusikia mambo ambayo yamefanyika. CCM inataka kuifanya serikali iwe kama dini vile, watu waishi kwa imani! Acha hadithi za kufikirika hapa, "maisha bora kwa kila Mtanzania - mere political slogans". Hivi walimu gani hawa tutawatengeneza kama hawatakuwa inquisitive, watafundisha wanafunzi wawe mazoba kama hawatahoji kauli za serikali. Hebu kwanza tupe updates hapa, hao ambao tayari wako kwenye ajira mmeacha kuwakopa?
 
gazeti tz daima linasema walimu 34elfu lakin Jana Chanel ten habar mheshimiwa kasema 31..duuhhh

Ndugu unapaswa kuwa makini, inaelekea hata darasani ulikuwa husikilizagi waalimu wako vizuri kind of umekurupuka. Alisema ni walimu zaidi ya elfu 31.
 

OP. Nani kasema kuhusu CCM, acha kukalili... Ati wasema "sisi" wewe na nan mwngne?.. Kama wote tutasema unachokifikiria wewe kwa ulewa wako hakuna haja majadiliano wala forum,,
 

Huku ndo kunaitwa ku Argue kwa hoja, Nimeipenda Big up Mkuuu
 

asanteeeeeeeeeeeeeeee!
 
Daah nimecheka sana kusoma comments za walimu wetu wapya, wengi wenu mnabisha bila kujua unabisha nini.

poleni na msoto!
 
Ole wenu CCM msitoe majina mwezi huu kama Mtapata kura yangu
 
sisi tnapita tu nyinyi endeleeni kujipa moyo na wengne endeleeni kponda nafkiri hatma ni wiki ijayo wadau#
 
yan hata mm cjui kama ntawapa kura yangu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…