TGInnocent
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 1,088
- 582
tatizo watanzania 2napenda kusikia v2 vitakavyo 2 pleas hata ka ni uongo, dat the fact,, subir mzgo utoke ndo ubishe,,,au argue kwa hoja bac na proof anapokoxea mwnzio upaweke xawa
Labda hao unaowazungumzia ni waTZ wa nyumbani kwako, sisi wengine humu JF tunataka kusikia mambo ambayo yamefanyika. CCM inataka kuifanya serikali iwe kama dini vile, watu waishi kwa imani! Acha hadithi za kufikirika hapa, "maisha bora kwa kila Mtanzania - mere political slogans". Hivi walimu gani hawa tutawatengeneza kama hawatakuwa inquisitive, watafundisha wanafunzi wawe mazoba kama hawatahoji kauli za serikali. Hebu kwanza tupe updates hapa, hao ambao tayari wako kwenye ajira mmeacha kuwakopa?