Hatimaye: Serikali ya Tanzania yafuta mkataba wake na Kampuni ya Kenya (Indo Power Solutions LTD) iliyojinasibu kununua Korosho kwa Bil 400

Jiwe mpenda masifa ya kishamba aliahidi kugawa kilo mbilimbili, atekeleze sasa ahadi yake.

Mkuu wa nchi anakua na mizuka utadhani katibu kata.haya sasa na mwezi wa kumi huo korosho zingine zinaingia soko ni.
 
Afu siku ya kujifunga Kwny huo MKATABA pale Arusha, kulikuwa na ma-prof wawili wa sheria.. Prof Luoga, gavana wa BoT na huyo Kabundi, kumbe hakuna Cha maana, duuh!
Mkuu . ukishaona prof amekubali uteuzi wa jiwe basi piga magoti usali.
 
Jamani mzee magu si alisema tunaweza tukagawana hizi korosho kila mtu akapata japo kilo mbili mbili,HNi kheri tukazila wenyewe kisha tukasubiri msimu mwingine unaokuja tutakuwa tushapata mbia wa kununua
Hapo magu anauchunaaa utadhani hayupo bongo. Ahadi ni deni
 
HILI SUALALA KOROSHO NILIJUA HALINA UTOFAUTI NA ILE MVUA SIJUI YA MALYASIA SIJUI CHINA KWAMBA INATENGENEZWA NA INANYESHA USANII HUU MMMHHHMMMHHH NAWAANGALIA TU. TUNAKOENDA MUNGU ANATUONA WATANZANIA ITAFIKIA TUTAAAMBIWA HAKUNA KULIMA KWAKUWA CHAKULA KITANYESHA KAMA MVUA
 
I believe the best weed comes from Tanzania under CCM! Bange mbaya
 
Je, hakuna wa kuishtaki serikali kwa kuingia mikataba na kampuni hewa?
 
Kumbe ulimuelewa tangu zamani sana!
Hii ndio mikataba anayoingia Profesa Kabudi. Nikashamuona Profesa Kabudi kwenye jambo lolote huwa najua kabisa hamna jipya hapo.
 
Inasikitisha sana
 
Kumbe ulimuelewa tangu zamani sana!
Huyo Kabudi namjua vizuri toka zamani. Huwa anatumika sana na watawala kutengeneza sheria zao za hila.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…