Siyo mfanya biashara alikuwa ni tapeli tu yule.Si Prof Kabudi tu. Siku ya Kusaini Mkataba walikuwepo Maprof 7 PhD 4 na Master 3 Vs Mfanyabiashara Mmoja Kutoka Kenya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo mfanya biashara alikuwa ni tapeli tu yule.Si Prof Kabudi tu. Siku ya Kusaini Mkataba walikuwepo Maprof 7 PhD 4 na Master 3 Vs Mfanyabiashara Mmoja Kutoka Kenya
Hata zikibanguliwa zote bado zitahitaji kuuzwa mkuu, kuzi export nje kupata fedha za kigeni, Wa tz korosho hawawezi kuzinunua ni bidhaa ya anasa kwao, pakti ya nusu kilo inaweza kuwa inauzwa 20k hukoKumbe tatizo ni ubanguaji na sio soko. Maana tunaweza zitumia ndani ya East Africa tukazimaliza kabisa. What are long run strategies? TZ haina wawekezaji kwenye sector hii??
Ni kampuni ya mfukoni,haina uwezo wa kununua...haina hata asset zozote wala ofisiKwa kuwa Kampuni husika imeshindwa kuheshimu Mkataba wake walioweka na Serikali hivyo itabidi Serikali iwadai hasara iliyoingia.
Kama hiviDuh hizo korosho si zimeshaanza chipua ghalani?
Tuliambiwa zisiponunuliwa tutagawiwa kila mtanzania kilo 2Naona sasa ni wakati wa kuanzisha masoko ya kuuza korosho kila mkoa, maana kwa madini wameanza, hii KOROSHOW inasumbua taifa, haaahaaaa... nchi hii!!!!!!!!!!!!
Lazima ubora ushuke vyovyote kwa kipindi cha karibu miezi 6 ghalaniHivi hizi korosho zinazopigwa danadana kila kukicha ubora wake utaendelea kubaki mpaka mwisho wa hili movie?
Nashangaa kwanini hadi sasa anatembelea gari la serikali kwani alisimamia mkataba hewaHii ndio mikataba anayoingia Profesa Kabudi. Nikashamuona Profesa Kabudi kwenye jambo lolote huwa najua kabisa hamna jipya hapo.
Hili na liwe fundisho kwetu kutofanya makosa tena 2020Disasters destroyers this empire akae pembeni tu inatosha jamani nuksi tupu toka kaingia yeye kila anacho gusa kina kina kufa tuu
Sikujua kuwa kabudii ni wa hovyo kiasi hikiAfu siku ya kujifunga Kwny huo MKATABA pale Arusha, kulikuwa na ma-prof wawili wa sheria.. Prof Luoga, gavana wa BoT na huyo Kabundi, kumbe hakuna Cha maana, duuh!
Hadi leo hakuna kinachoelewekaKwa ujumla Kabudi ni mjinga fulani, huyu Kabudi ndio alikuwa kwenye majadiliano ya na wazungu wa Barrick, alitoka kwenye ule mkutano na maelezo ya uongo, mara sijui tutalipa kishika uchumba, mara sijui wanapitia deni letu. Yaani hadithi kibao.
Hao ndiyo mawaziri wa ccmHuyo jamaa alikuwa tapeli kabisa, sijui waziri aliingiaje chaka
Acha hizoHao ndiyo mawaziri wa ccm
Acha hizo