Hatimaye: Serikali ya Tanzania yafuta mkataba wake na Kampuni ya Kenya (Indo Power Solutions LTD) iliyojinasibu kununua Korosho kwa Bil 400

Hatimaye: Serikali ya Tanzania yafuta mkataba wake na Kampuni ya Kenya (Indo Power Solutions LTD) iliyojinasibu kununua Korosho kwa Bil 400

Kwa hili Mh. Rais Magufuli aitendee haki nchi yetu kwa kumwajibisha Prof. Kabudi
 
Kumbe tatizo ni ubanguaji na sio soko. Maana tunaweza zitumia ndani ya East Africa tukazimaliza kabisa. What are long run strategies? TZ haina wawekezaji kwenye sector hii??
Hata zikibanguliwa zote bado zitahitaji kuuzwa mkuu, kuzi export nje kupata fedha za kigeni, Wa tz korosho hawawezi kuzinunua ni bidhaa ya anasa kwao, pakti ya nusu kilo inaweza kuwa inauzwa 20k huko

Kuzibangua kunaongeza thamani na zitauzwa kwa bei ya juu nje na kutoa ajira hapa nchini pia

Long term plans ndio hiyo Tanzania ya viwanda anayosema Magufuli.

Magufuli karata yake kuu kwenye viwanda ni kurudisha viwanda vya korosho vilivyobinafsishwa na kuwapa wawekezaji wengine

Sema viwanda vyenyewe vinahitaji equipment mpya na za kisasa, ni almost kama kuanza upya tu, na wawekezaji wenyewe ndio shida
 
Kwa kuwa Kampuni husika imeshindwa kuheshimu Mkataba wake walioweka na Serikali hivyo itabidi Serikali iwadai hasara iliyoingia.
 
Kwa kuwa Kampuni husika imeshindwa kuheshimu Mkataba wake walioweka na Serikali hivyo itabidi Serikali iwadai hasara iliyoingia.
 
Kwa kuwa Kampuni husika imeshindwa kuheshimu Mkataba wake walioweka na Serikali hivyo itabidi Serikali iwadai hasara iliyoingia.
Ni kampuni ya mfukoni,haina uwezo wa kununua...haina hata asset zozote wala ofisi
 
Hizo korosho watugawie wananchi tutafune, taishe!
 
Duh hizo korosho si zimeshaanza chipua ghalani?
Kama hivi
IMG_20190511_202708.jpeg
 
Naona sasa ni wakati wa kuanzisha masoko ya kuuza korosho kila mkoa, maana kwa madini wameanza, hii KOROSHOW inasumbua taifa, haaahaaaa... nchi hii!!!!!!!!!!!!
Tuliambiwa zisiponunuliwa tutagawiwa kila mtanzania kilo 2
 
Hii ndio mikataba anayoingia Profesa Kabudi. Nikashamuona Profesa Kabudi kwenye jambo lolote huwa najua kabisa hamna jipya hapo.
Nashangaa kwanini hadi sasa anatembelea gari la serikali kwani alisimamia mkataba hewa
 
Disasters destroyers this empire akae pembeni tu inatosha jamani nuksi tupu toka kaingia yeye kila anacho gusa kina kina kufa tuu
Hili na liwe fundisho kwetu kutofanya makosa tena 2020
 
Afu siku ya kujifunga Kwny huo MKATABA pale Arusha, kulikuwa na ma-prof wawili wa sheria.. Prof Luoga, gavana wa BoT na huyo Kabundi, kumbe hakuna Cha maana, duuh!
Sikujua kuwa kabudii ni wa hovyo kiasi hiki
 
Kwa ujumla Kabudi ni mjinga fulani, huyu Kabudi ndio alikuwa kwenye majadiliano ya na wazungu wa Barrick, alitoka kwenye ule mkutano na maelezo ya uongo, mara sijui tutalipa kishika uchumba, mara sijui wanapitia deni letu. Yaani hadithi kibao.
Hadi leo hakuna kinachoeleweka
 
Back
Top Bottom