Tochuku
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 5,322
- 8,412
Wadau kama mnavyojua FBI(Federal Bureau of Investigation) ni shirika kubwa la usalama wa ndani na upelelezi wa uhalifu lenye mamlaka ya kufanya kazi za kijasusi ndani ya nchi ya Marekani.
Hatimaye wamenusa harufu ambayo sio nzuri kwa raia wake na activist mkubwa Mange Kimambi ambaye amekua mstari wa Mbele sana kufichua maovu mengi yanayotokea nchini Tanzania na kutetea maslahi makubwa ya wananchi wa Tanzania, hivyo kumtaka mara Moja kwa mahojiano maalum ya kwanini amekua akiwindwa kwa ajili ya kupotezwa , hivyo basi hio yaweza kua nafasi maalum kwa dada huyo ya kueleza zaidi maovu ya nchi hii yanayofanywa na waliopewa mamlaka katika nyadhfa mbalimbali za ki-nchi..kama mjuavyo maandamano ya diaspora marekani kutokea Tanzania yanafanyika siku ya leo.
Hatimaye Sasa FBI wameingia kati, hapa ndio tumefikia watanzania. Tafakari kwa kina hatua ya kuchukua October 29, je utatoka kupiga kura ama utatoka kwa ajili ya kuondoa wahalifu ma waovu wachache waliojimilikisha nchi yenye watu milioni 60.