Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wanaharakat ndio wanapiga Kura? Aliyewatuma kawadanganyaPublic sympathy mbele ya viti vya msingi haipo.....
diamond kusema watu wasichague Chadema ni sawa ila Wanaharakati kusema watu wasimchague diamond sio sawa, Hii imekaaje?
Kwahiyo wanaopiga kura wanapigaga kwa sympathy nani amekudanganya?Kwan wanaharakat ndo wanapiga Kura? Aliyewatuma kawadanganya
Hujajibu swali lakeKwan wanaharakat ndo wanapiga Kura? Aliyewatuma kawadanganya
Kama ingekuwa huo uharakati wenu unasaidia au umpo wengi mbona kijana anawakimbiza kwa kura Tena kwa tofauti kubwa Sana yeye hadi sasa kwenye post yake ilipostiwa na bet ina like nyingi Sana comment nyingi na hashtag nyingi kuliko msanii yoyote Tena by farPublic sympathy mbele ya vitu vya msingi haipo.....
diamond kusema watu wasichague Chadema ni sawa ila Wanaharakati kusema watu wasimchague diamond sio sawa, Hii imekaaje?
Royal != loyalApo kwenye Royal fans haupo serious
Mond ni mpambanaj sana.Wakifanikiwa kumuangusha kwa hili yeye atafanikiwa kwa lingne.Diamond Platnums amechaguliwa kuwania tuzo za BET , akiwa ni yeye pekee tokea pande za Africa mashariki....
Kipengele hcho yupo sambamba na mkali Burna boy tokea Nigeria..!
Kinachoshangaza ni kuwepo Kwa makundi yanayompinga kumpigia Kura kutokea hapa hapa nchini kwake Tanzania mahali ambapo alitakiwa apate support kubwa zaidi ....
Makundi hayo yapo sehemu kuu mbili.
1. Kundi linalompinga Kwa mlengo wa kisiasa likiongozwa na accnt maarufu tokea mtandao wa Twitter ya Kigogo 2014...
Hao sababu zao kuu ni Diamond kutohusika katika kukosoa kile wanachokiita ukiukwaji wa haki za binadamu nchini... Pamoja na kuwa upande wa chama tawala cha CCM.
2.Kundi linalompinga Kwa chuki na maslahi ya kimziki ... likiongozwa na mtangazaji wa Clouds Mwijaku , na accnt zingine za udaku eg Carry mastory , Jay maudaku, E.fm media n.k ...... in short group lote la konde gang...
Na hili kundi la pili ndo nitakaloliongelea Mimi.....
Bila kupepesa macho mziki wa bongo fleva Una waanzilishi wake na Una wakongwe wake hata hivyo Diamond Platnumz ameunyanyua mziki huu Kwa kiwango cha juu kuliko msanii yyte Yule .....
Kundi hili limekuwa likijihusisha na kumpa support Harmonize , wakiwa na lengo au matumaini ya kuwa huenda ana nyota ya kumpita Diamond Platnumz , ...story zao , post zao na kila kitu wanachokifanya kimekuwa na vimelea au lengo la kumgusa Diamond Platnumz in a negative way..
Hakuna asiyejua kuwa Burnaboy ni mwanamziki hodar Kwa sasa Africa , na wala hahitaji support ya watanzania kuchukua tuzo hyo , tuzo ya BET kuchukua inategemea unajulikanaje international level
Na bila Shaka Burnaboy anajulikana Zaid kuliko Diamond , kismingi Burnaboy kuchukua hyo tuzo ni Jambo la kufikia na Diamond akichukua basi itakuwa ni Jambo la kupongezwa .....
Lakni Kwa nini hawa waswahili wamelivalia njuga Kwa kiwango hcho ......
Iko hvi , kinachowaumiza kichwa supporter wa Harmonize ni namna ya kupenya na kufika mbali kama alivyo boss wake wa zamani Na aliyemtoa kimziki Diamond Platnumz ,
Wanaona kijana wa Tandale amepenya zaidi , na maneno Yao ya uswahili kimsingi hayagusi kina cha maji , kimsingi Diamond ana supporter kubwa Sana ndani na nje ya nchi, si kama mshindani wake Burnaboy Ila kuliko msanii yyte Kwa ukanda wa Africa mashariki na pengine na Kati.
Hvyo kundi hili wanaona wakimpa support Burnaboy na yeye Kwa namna moja ama nyingine akitambua hlo basi atakuwa tayar kuwa karbu na Harmonize na Harmonize atamtumia kama ngazi ya kumpaisha ili lengo Lao lifanikiwe .....
Diamond anajua kutumia fursa , kitendo cha yeye kuwa nominated , na stuation inayoendelea Mitandaoni inampa mileage kubwa Sana kuwafikia wasaniii wa kiwango cha juu zaidi duniani ....
Vyovyote itakavyokuwa kufanikiwa Kwa lengo Lao kutategemea , bahati na nyota ya msanii wao....na sio kelele za kutaka fulan ashindwe ili fulani apae ....nafkri hzo sarakasi Diamond amecheza nazo tangu anatoka sharobaro record mpak hvi leo ...
Alaf jamaa kafika hapo kivyake vyake, et leo vinaibuka vibwengo et ooh sjui nini nini , kama alinyukwa risasi ni Kwa ajili ya mambo yake ya kisiasa , wanasiasa wanajuana , sasa asitulazimishe sarakasi za kwenye siasa aziingize kwenye sanaa..tumetoka na mond mbali , tutampambania to the last man .Mond ni mpambanaj sana.Wakifanikiwa kumuangusha kwa hili yeye atafanikiwa kwa lingne.
Mondi
chibu
dangote
baba tiffah
apewe tu tuzo yake ya BET
Yaani umemaliza kila kitu yani wewe kama mimi tu 😂😂Alaf jamaa kafika hapo kivyake vyake, et leo vinaibuka vibwengo et ooh sjui nini nini , kama alinyukwa risasi ni Kwa ajili ya mambo yake ya kisiasa , wanasiasa wanajuana , sasa asitulazimishe sarakasi za kwenye siasa aziingize kwenye sanaa..tumetoka na mond mbali , tutampambania to the last man .
Bet awards Ina voters wake na wako 500 tu..... Sio kina mwijaku
Public sympathy mbele ya vitu vya msingi haipo.....
diamond kusema watu wasichague Chadema ni sawa ila Wanaharakati kusema watu wasimchague diamond sio sawa, Hii imekaaje?
Ulaya kuna wachezaji mpira zaidi ya elfu 5, lakini tuzo za Ballon D Or kwa takribani miaka kumi sasa zimetawaliwa na wachezaji wawili tu MESSI na RONALDOWabongo mnapenda sana kuabudu watu na kuwafanya wajenge MONOPOLY.
No wonder nchi ya watu 60M wanakuwa na nguvu wasanii watatu.
Wasanii wa bongo ni TAKATAKA kabisa.
Wengi wataishia kutumika tu kama misukule.