Hatimaye Siri imefichuka, Timu Burnaboy dhidi Ya Diamond Platnumz

Public sympathy mbele ya vitu vya msingi haipo.....

diamond kusema watu wasichague Chadema ni sawa ila Wanaharakati kusema watu wasimchague diamond sio sawa, Hii imekaaje?
 
Public sympathy mbele ya vitu vya msingi haipo.....

diamond kusema watu wasichague Chadema ni sawa ila Wanaharakati kusema watu wasimchague diamond sio sawa, Hii imekaaje?
Kama ingekuwa huo uharakati wenu unasaidia au umpo wengi mbona kijana anawakimbiza kwa kura Tena kwa tofauti kubwa Sana yeye hadi sasa kwenye post yake ilipostiwa na bet ina like nyingi Sana comment nyingi na hashtag nyingi kuliko msanii yoyote Tena by far
 
Mond ni mpambanaj sana.Wakifanikiwa kumuangusha kwa hili yeye atafanikiwa kwa lingne.
Mondi
chibu
dangote
baba tiffah
apewe tu tuzo yake ya BET
 
Mond ni mpambanaj sana.Wakifanikiwa kumuangusha kwa hili yeye atafanikiwa kwa lingne.
Mondi
chibu
dangote
baba tiffah
apewe tu tuzo yake ya BET
Alaf jamaa kafika hapo kivyake vyake, et leo vinaibuka vibwengo et ooh sjui nini nini , kama alinyukwa risasi ni Kwa ajili ya mambo yake ya kisiasa , wanasiasa wanajuana , sasa asitulazimishe sarakasi za kwenye siasa aziingize kwenye sanaa..tumetoka na mond mbali , tutampambania to the last man .
 
Yaani umemaliza kila kitu yani wewe kama mimi tu 😂😂
 
Akili za kushikiwa Mkuu. Tanzania si ajabu inaongoza kwa kuwa na raia wengi Wapumbavu kuliko nchi nyingine yoyote ile duniani. Domo kupiga kimya kuhusu udhalimu wa magufuli bomoa bomoa, dhuluma za mabilion, udhalimu wa kubambikia kesi wasio na hatia, kuwateka na hata kuwaua kwa sababu yeye ni MNUFAIKA wa maccm ni sawa tu, lakini wakati huo huo akemee maovu dhidi ya Wanigeria!!!! Ukipanda bangi iweje utake kuvuna mpunga!!! Apambane na hali yake aache KIBRI hakimtasaidia chochote bali akubali kubadilika.

HAKI HUINUA TAIFA iwe kwa mnyonge au kwa tajiri. Na udhalimu na dhuluma HUANGAMIZA TAIFA.
Public sympathy mbele ya vitu vya msingi haipo.....

diamond kusema watu wasichague Chadema ni sawa ila Wanaharakati kusema watu wasimchague diamond sio sawa, Hii imekaaje?
 
Diamond ana support kubwa ndani na nje ya nchi ni nje gani unazungumzia wewe?
 
Wabongo mnapenda sana kuabudu watu na kuwafanya wajenge MONOPOLY.

No wonder nchi ya watu 60M wanakuwa na nguvu wasanii watatu.

Wasanii wa bongo ni TAKATAKA kabisa.

Wengi wataishia kutumika tu kama misukule.
Ulaya kuna wachezaji mpira zaidi ya elfu 5, lakini tuzo za Ballon D Or kwa takribani miaka kumi sasa zimetawaliwa na wachezaji wawili tu MESSI na RONALDO

Miaka ya 90 huko USA wasanii wawili wakubwa wa HIPHOP waliohusudiwa vilivyo walikuwa ni Tupac na BIG, japo wapo wengi waliokuwepo zama zao

Michael Jackson alikuwa ni moja ya wasanii wachache waliopendwa na kutikisa dunia vilivyo ijapokuwa kuna rundo la wasanii huko USA

Huko nako kuna Monopolism!???
 
Mond hii Mara ya tatu kuwa nominated BET..Ila hii kuna namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…