Hatimaye Siri imefichuka, Timu Burnaboy dhidi Ya Diamond Platnumz

Ile timu ya ushindi ya sisiem kwenye uchaguzi mkuu uliopita hawawezi kumsaidia mondi akanyakua hili tuzo? wakurugenzi, tume etc
Nashaangaa hapo na mie, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wabongo mnapenda sana kuabudu watu na kuwafanya wajenge MONOPOLY.

No wonder nchi ya watu 60M wanakuwa na nguvu wasanii watatu.

Wasanii wa bongo ni TAKATAKA kabisa.

Wengi wataishia kutumika tu kama misukule.
Mkuu unatufokea sisi ama nini
 
Wasanii wanayokazi kubwa ya kuiburudisha, kuielimisha, kuifariji, kuihamasisha na kuiongoja jamii kwenye mambo chanya yanayojenga.

Wasanii wetu wengi akiwepo Diamond wanafanya burudani tu. Hakuna return kwa jamii hata kwa kutetea haki za msingi za raia na mashabiki wao za kuishi.

Msanii mwenye sura ya kitaifa ni yule anayewaunganisha wananchi pamoja na si yule anayewagawa kwa misingi ya chama

Pakitokea mgogoro baina ya vyama huyu hawezi kuwaunganisha. Akijaribu kutatua mgogoro kidogo ndio anatia mafuta.

Ni tofauti na msanii asiyeweka msimamo wake wa chama wazi ila tu anakemea maovu inapobidi.

Hawezi kuzitetea zaidi ya kukaa kimya ni mpumbav sana.

Nashauri awe muimbaji wa chama chake hafai kuliwakilisha Taifa.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Diamond ako na shida mingi mzee we mtetee lkn walioamua wameamua huwezi kuwaamulia wala kukuamuliwa...wanajua diamond ni top [emoji772] kwa sasa lkn hiyo haiwezi kuzuia mtu asiwe against him especially the ones who know the both side of him tofauti na sie tunaomjua upande wake mmoja wa shilingi...THE GUY IS LIKE WANT TO BE WORSHIPPED THOUGH [emoji2959]
 
Wachawi ni kawaida yao .kwani hamuwezi kumnyanyua mmakonde wenu mpa mumshushe mondi?
 
HILI Jambo walitakiwa walifanye miaka kumi iliyopita!!, Na hawa WANASIASA uchwara
Nyota ya huyo kijana ilishawaka labda Wamuue kabisa
 
Elezea efm wameingiaje hapo???

Na kwanini yatokee haya makundi wakati hapo mwanzo jamaa alipata sapoti ya zaidi ya 200% hakuna aliempinga????
Huwez pata sapoti asilimia 200 nahaijapata kutokea kiumbe wakupata asilimia hizo
 
Acha uongo! Kitu kama hujui usiandike UZUSHI!! Kaa kimya.



BET
TRENDING:
STAY UP TO DATE ON THE LATEST IN MUSIC, STYLE, NEWS AND MORE!
BET.com would like to send notifications to your web browser, which may include marketing messages. You can opt-out of receiving these notifications at any time by updating your web settings. See our Privacy Policy for additional information.
SIGN UP



BET Awards Voting Academy​

The BET Awards is back! Ahead of the show, BET needs the help of our most dedicated viewers. Yes, we mean you! We are seeking BET's biggest fans from all over to join the BET Awards 2016 Voting Academy to help determine this year's award winners. In order to be considered a part of this respected group of phenomenal industry experts, fill out the application below and then complete a "knowledge test" covering a variety of entertainment-related questions. If you're a pop culture genius, then you'll have no problem breezing through this quiz. The most knowledgeable and worthy candidates will be handpicked to join the Academy panel. Don't forget, only fans with the best and most correct answers will be chosen. This is your chance to help make your mark on the night. Good luck!​







GET YOUR FIXSubscribe

Subscribe to our Newsletter​

SUBMITSee our Privacy Policy to learn more about our privacy practice.
Privacy PolicyCookies PolicyDo Not Sell My Personal InformationTerms of UseJobsClosed CaptioningSubmission AgreementCopyrightContact UsSite MapTV RatingsParamount+
© 2021 BET Interactive, LLC, a wholly owned subsidiary of Black Entertainment Television LLC. All rights reserved.







 
TWITTER ingekuwa na NGUVU hapa Tanganyika, CHADEMA ingekuwa madarakani SAA hii unayosoma hii "comment"!!!
Yaani Tundu Lissu angekuwa Chamwino SAA hii!!!
 
Mnamjua burna boy,unajua Nigeria ina watu wangapi walio ndani,na nje ya nchi je??!..yaani domo awe na mashabiki wengi kuliko Burna????
Mnaleta utani kwenye mambo serious
 
Mnamjua burna boy,unajua Nigeria ina watu wangapi walio ndani,na nje ya nchi je??!..yaani domo awe na mashabiki wengi kuliko Burna????
Mnaleta utani kwenye mambo serious
Fabio santolo Wofcourse Nigeria wapo wengi kuliko Tanzania lakini mashabiki kindakikindaki na wapigaji wazuri wa kura wapo Tanzania hiyo ndio tofauti iliyopo ndio maana ukienda kwenye mitandao ya betaward hadi sasa Diamond ndio anaongoza kwa kura kwa tofauti kubwa Sana na wanaofuata.Kumbuka pia huyu huyu diamond aliweka record kwenye tuzo Afrimma za wanigeria kwa kuwa na kura 1 million akifuatiwa na burnaboy akiwa na kura elfu kumi.Wakiangalia kigezo Cha kura Diamond atashinda ila wakiamua majaji inaweza ikawa 50/50 either burnaboy au Diamond
 
Elezea efm wameingiaje hapo???

Na kwanini yatokee haya makundi wakati hapo mwanzo jamaa alipata sapoti ya zaidi ya 200% hakuna aliempinga????
we mtoto wa kiume unataka support ya watu ili iwaje ..pambana na maisha yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…