Hatimaye Siri imefichuka, Timu Burnaboy dhidi Ya Diamond Platnumz

kwanini unataka tupende unachotaka? tusipangiane maisha
 
Duu mie nachojua kwa uzoefu wangu wa kibinadamu yaani na kuwasoma watu na mie mwenyewe nikiwemo iko hivi.

1-- ni watu wachache Sana wanaowapenda wa kwao kabisa na kupenda kufanikiwa ama wewe ufanikiwe Mana wivu unakuwepo. Ndo Mana mie nikishaishi sehemu ambayo Kama Kuna mtu anaifahamu nakuwa Sina amani pia Sina furaha kabisa. Ila nikiishi sehm ambayo mtu hanijui nakuwa na amani Sana Mana wanaokufahamu wanakuchoreshea ramani zako. Na ndo Mana watu wakishapata hela wanaishia maisha ya kujitenga na watu Mana watu ni wabaya na wazuri.

2-- kijana akatoka kijijini kwao akasoma hataki kuolewa/kuoa wa kijijini kwao alikotoka ingawa mie nimeshinda hili.
3... Mtu anayekufahamu yaani haTa siijui nikuambiaje,Kuna Ile mtu kuzoea kitu afu anachokwa nacho so anataka abadili ladha ama akishapata anakiona Tena hakina thamani kwake.
Kumbuka ni mangapi uliyatamanj uwe nayo leo hii unayo hauoni thamani yake Tena.
Binafsi nikiwaga Arusha Moshi nakula Sana wadada wa huko wakijua mie ni msukuma pia nikiwa Kanda ya ziwa nawala Sana Hawa wadada wakijua kuwa mie ni wa Arusha so waweza ona tofauti ya hapo.
Nishawahi ishi kijijini kwetu sema tarafa nyingine ninafanya kazi nikapanga nyumba ya mtu wa kwetu kikabila hakujua kuwa mie nawasikia yote wanayoongea Ila wanajua mie kabila lingine.
Mpaka Kuna binti nilitongoza akaja na rafiki yake akawa anamwambia yule mwenzake nikiyetongoza kuwa mie ni mzuri ,aliyetongozwa anamwambia rafikiye Kama vipi mpe mbususu mie nacheka tu ndani kwa ndani.


Hata ukiwa nchi za wazungu wale mademu wao weupe wanakuwa na shobo Sana za waafrika wanaume wanataka kubadili ladha ama fantasies,ama kujaribu maumbile ya kiafrika pia na waanaume sie wa kiafrika tunakuwa ivyo ivyo. Hii inapelekea mpaka ukioa mzungu inaonekana Kama we ni mjanja ama wa tofauti Ivyo na demu wa kizungu akitembea na mwafrika afu yeye pekee ndiye anaonekana Kama mng'ao popote alipo Mana Ana kitu Cha tofauti.

Ishu Iko Ivi like ulicho nacho unakiona Cha kawaida,umeshakizoea ,unakijua -&+ so hakuna jipya na ndiko suala huwa linafanya linapelekea watu kujua labda mgeni ni mzuri kuliko mwenyeji Ila wote ni binadamu.

Binafsi nikiwa na Dola millions nahama Africa.
So huu no wivu kwani hata akipata yeye atapoteza Nini ama ataumia kumuona anaishi maisha ya juu kuliko yeye Mana anakiona kuwa ndiye anayestahili kuwa nayo.
These are our human demons wo we've to fight strongly to win them. We shouldn't let them win us rather than us winning them.
 
Nani alikuambia huo ujinga chief , yeye anafanya kazi zake za mziki na kadri anavyofanikiwa lazima atambe na lazima ajisifie hakuna mahali Diamond ameonyesha anataka kuabudiwa mzeea acheni kupotosha sifa ya Ibada ni ya Mungu peke yake boss...

Lastly waambieni wasanii wenu wapambane kivyao na sio kumuombea mabaya mshikaji , wala kumtaja taja kama kawaibia matako , wakitoboa watapata Tu sifa na sio kumwandama mshikaji kwenye sifa aliyoipata Kwa juhudi zake binafsi...

Huyo harmonize ana nini mnuka kinyesi Yule , ana tuzo gani , ana record gani ya kushawishi watu wenye akili timamu , .....

Hao wanasiasa wafanye kazi Yao ya siasa , kama Lissu alinyukwa risasi ni yeye katika harakati zake za kisiasa anapolia ugali, asilete uhuni hapa ndo kazi yake ya kukosoa serikali apambane na sio kutaka watu wengine wamsaidie majukumu .... Diamond ni mwana CCM yupo responsible kusaidia chama kama katiba ya chama inavyojieleza

Matukio ya uvunjifu wa haki za binadamu yapi hayo ?
Nani alitekwa na serikali ?? Yan mtu afanyie kazi maneno na Hsia za watu .....
Kama ikitokea wananchi wameingia barabarani sababu ya uvunjifu wa haki Fulani atajiitokeza .....

Kila mmoja atafte ngazi yake na sio kufanya mwingine ngazi
 
Tuweni serious jamani hata kama ungekua ni wewe kwenye utawala wa MAGU ungesubutu kupinga hayo uliyo yasema? Au ulitaka kijana wa watu aongee then yangemtokea ya kumtokea, familia na mali zake nani angezilinda? je vipi carier yake ya muziki ndiyo ingekua basi tena angeishije?

Angerudi tandale kafulia nyie hao hao mngerudi kumnanga na kumtukana matusi yote kwa kufulia.

Mwacheni kijana wa watu ajitafutie ridhiki yake kama Mungu kapanga ataichukua tu hiyo tuzo.
 
kama hauwezi kupinga si unakaa kimya.
 
Pia dogo Hana interest na Mambo ya siasa ama huo uanaharakati anaotaka nayeye tumfanane huyo liso. Sasa yeye anaposema kuwa wataandama Sasa aandamane yeye jamani auwe ili tumuone Kama ni mzalendo
 
Hii ndo inatupa tafsiri ya kwamba watanzania wengi Ni watu walioshikiwa akili wakiambiwa ivi wanaenda uko uko bila kutafakari.itachukua miaka mingi kuja kua na self awareness.
 
Hii ndo inatupa tafsiri ya kwamba watanzania wengi Ni watu walioshikiwa akili wakiambiwa ivi wanaenda uko uko bila kutafakari.itachukua miaka mingi kuja kua na self awareness.
Tatizo sio kushikiwa Bali Diamond ana fan base kubwa na loyal fans wengi ambao huwambii kitu kwa diamond
 
Akipiga bao wafunge akaunti zao..!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…