Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kasikilize ule wimbo wa tmk wanaume family unaoitwa chai kwenye mstari alioimba chegge halafu uje hapa sawa Hance MtanashatiThibitisha.
Acha ukiranga we jamaa.Thibitisha.
Yaani wewe mbeya kuwazidi hao shilawadu, unaishi wapi mkuu hilo neno useme limeletwa na wasafi waliokuja juzi tu hapa? Tuliokua enzi za mwalimu tunajua vzr aiseeMjini kiki ni WCB, WCB ni kama maji ,usipokunywa, utayaoga tu .
Soudybrown amejikazaa weeeee mwishoni yamemshinda maana alikuwa ameshaanza kupoteza kundi kubwa la watu kwa kukosa habari moto moto mwisho wa siku kutwa kuchwa kumpost Nand na Maua Sama akibadili sana amemuongelea Casto Dickson.
Jamaa alikuwa anaumia sana kutopost habari zinazowahusu WCB, mwisho wa siku ndio kama hivyo ameamua kubwaga manyanga na kuamua kujipendekeza usafini kwa kupost habari zinazowahusu.
Hilo neno la "Masotojo" ni neno linalotumika Wasafi kwa hiyo mchizi ameanza kujipenyeza penyeza hivyo hivyo mdogo.mdogo kwa kutumia baadhi ya maneno ya Usafini ,pia siku hizi amekuwa akiwaongelea sana Wasafi japo kwa kificho ficho kwa kuhofia kibarua chake kisije kikaota nyasi.
View attachment 923703
Msamehe atakua sio mtanzaniaHilo neno limeaza kutumika kabla ya Hata WCB kuwepo Duniani Hebu Acha Uongo.
Hivi neno masotojo tu limefanya umeanzisha uzi ??. Hakika ni hatar
View attachment 925102
Hizo tweets hapo zilikuwa ni Mwaka 2013 hao wadau walikuwa wanazungumzia Sotojo au Bunyerobunyero kwa watu wa pwani wanaelewa.
Hii vid niliiona 2017. Way back before hao Wasafi wako.
.............. Thread Closed no Further Replies.................
Hahaa njemba ya koromije imesusa uzi wake.