Hatimaye SoudyBrown abwaga manyanga WCB.

Hatimaye SoudyBrown abwaga manyanga WCB.

Hii post kama imeletwa na mtoto Wa kike sishangai, nitashangaa kama ni Wa kiume.....
 
Wakuu msimlaumu huyu ni mjanja wa KASHAI BUKOBA Sasa ndo kaingia mjini juzi nae anaiga kujifanya mtoto wa town.Dogo tulia utafumuliwa marinda
 
Mjini kiki ni WCB, WCB ni kama maji ,usipokunywa, utayaoga tu .

Soudybrown amejikazaa weeeee mwishoni yamemshinda maana alikuwa ameshaanza kupoteza kundi kubwa la watu kwa kukosa habari moto moto mwisho wa siku kutwa kuchwa kumpost Nand na Maua Sama akibadili sana amemuongelea Casto Dickson.

Jamaa alikuwa anaumia sana kutopost habari zinazowahusu WCB, mwisho wa siku ndio kama hivyo ameamua kubwaga manyanga na kuamua kujipendekeza usafini kwa kupost habari zinazowahusu.


Hilo neno la "Masotojo" ni neno linalotumika Wasafi kwa hiyo mchizi ameanza kujipenyeza penyeza hivyo hivyo mdogo.mdogo kwa kutumia baadhi ya maneno ya Usafini ,pia siku hizi amekuwa akiwaongelea sana Wasafi japo kwa kificho ficho kwa kuhofia kibarua chake kisije kikaota nyasi.
View attachment 923703
Yaani wewe mbeya kuwazidi hao shilawadu, unaishi wapi mkuu hilo neno useme limeletwa na wasafi waliokuja juzi tu hapa? Tuliokua enzi za mwalimu tunajua vzr aisee
 
Msamehe mkuu atakua mgeni tanzania
View attachment 925102
Hizo tweets hapo zilikuwa ni Mwaka 2013 hao wadau walikuwa wanazungumzia Sotojo au Bunyerobunyero kwa watu wa pwani wanaelewa.



Hii vid niliiona 2017. Way back before hao Wasafi wako.

.............. Thread Closed no Further Replies.................
 
Back
Top Bottom