figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Amechanganyikiwa na maandamano. Moja haikai wala mbiliHuyu mzee maskini analeta masuala ya Bandari mda huu
Faza ako ( Gendaheka ) nyara ya Serikali ishakula Konyagi mwitu ( Chingiri ) Hadi ROM inaruka baadhi ya herufi.Nimecheka kinoma
😄 🤣Faza ako ( Gendaheka ) nyara ya Serikali ishakula Konyagi mwitu ( Chingiri ) Hadi ROM inaruka baadhi ya herufi.
Misitu haijaisha inakuja Kufosi uraiani.😄 🤣
Eti Gendaheka, kwaiyo nyara hii, imekimbia kutoka Gombe?
Huyo mzee mpumzisheni huko chamani kwenuFaza ako ( Gendaheka ) nyara ya Serikali ishakula Konyagi mwitu ( Chingiri ) Hadi ROM inaruka baadhi ya herufi.
Mmh!Mzee wa Gombe
View attachment 3494011
Ni yeyeMmh!
Utatekwa😝😝😝Ni yeye
Wakija nageuka sisimizi.Utatekwa😝😝😝