OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Ila huyu 'Bambushka' anayetoa "likes" bila shaka ni kabinti kametokea ulaya mashariki - hususan Bulgaria.......!!!!!Tuelewane hapa
Takwimu zilizopo sio halisi
Wamepimwa wengi sana na + ni wengi sana na vifo ni vingi sana ila hazitangazwi
Hivi Mungu ulikusudia nini kunifanya nizaliwe nchi hii ?Kenya wanapima 5,000 kwa siku sisi miezi yote tumepima 600 tu. Jiwe jiwe kweli π
ni uongo tena wa hali juu sababu kabla viwanja vya ndege na mipaka kufungwa abiria wote kutoka nje walikuwa wakipimwa airport ndege zote na mabasi yote toka nje ya nchiHuu ni utakuwa uongo mkubwa. Na hii dashbord ni ya kupika pia. hatuwezi kuwa tumepima watu wachache hivyo
Kuna kila aina ya mkanganyiko wa mambo huu ni ufisadi mkubwa wa kitaaluma.Jana Rais analalamika mpaka pamba ile ya kuchukua kipimo inaagizwa. Wanabana matumizi. Halafu 652 kwa watu million 60 ni utani huo. Ina maana kuna wagonjwa kibao wana virus na hawajadhibitishwa.
Halafu kati ya vipimo 652 watu 480 positive.
Kazi ipo.
Si uchukue tu. Passport ya Tanzania haina deal.Kuna mda huwa nafikiria kuchukua uraia wa huku niliko, sielewi CCM wanaiwazia nini Tanzania
Kenya wanapima vipimo 1000 na zaidi kwa siku. Hadi Uganda wametupita. Kweli hii epidemic itafagia sana tena sana.
Watu 652 na kati ya hao 480 positive aiseeee!!!
Viongozi ndiyo wenye laanaNimegundua kuwa Tanzania hakuna vifaa vya kutosha kupima corona, hata hizo michango sijui ni za nini
ujanja ni mwingi sana huko maabara wanapopima corona, hii nchi ina laana sio bure kabisa
hii nchi mchawi wake ni ccm, ikitoka tu utaona nchi inakimbia mpaka tutashangaa,
ccm kila mtu yupo kuangalia wapi atainyonya nchi
πππSi uchukue tu. Passport ya Tanzania haina deal.
Sisi kuliko hela ikanunue vipimo bora ikanunue mboga Chato.Rwanda&Uganda wameshapima zaidi ya watu 30,000.
Nami najiuliza hapo mkuu. Wakiondoa hivyo viumbe vingine ni balaa.Lakini kwenye hizo takwimu pia si kuna Mbuzi, papai, fenesi, kwale.??