Hatimaye takwimu za waliopimwa COVID 19 Tanzania zatoka hadharani, wamepimwa watu 652 tu kwa muda wote!

Hatimaye takwimu za waliopimwa COVID 19 Tanzania zatoka hadharani, wamepimwa watu 652 tu kwa muda wote!

Tuelewane hapa
Takwimu zilizopo sio halisi
Wamepimwa wengi sana na + ni wengi sana na vifo ni vingi sana ila hazitangazwi
Ila huyu 'Bambushka' anayetoa "likes" bila shaka ni kabinti kametokea ulaya mashariki - hususan Bulgaria.......!!!!!
Hata kapaka mtoto tunakaita 'puski' 😀😀
 
Dr Ndungulile(Md, Mmed) alisema wanafanya targeted testing means kwa wale tu waliokuwa screened(kwa kuzingatia clinical criteria na epidemiological criteria) na kukutwa na dalili ndiyo sampuli huchukuliwa na kwenda maabara kupimwa.

Advantage moja wapo ya kuscreen before testing means yield inakuwa kubwa kwa sababu unapima wahisiwa tu wenye vigezo. So Mimi sishangai kwa hizo yield results
 
basi tuko hoi mtaani hii inamaanisha kati ya watu 652 waliopimwa watu 480 wana maambukizi hii ni hatari sana
 
Nani kawapa data hao wanatengeneza za kwao kuipaka matope Tanzania.
 
Huu ni utakuwa uongo mkubwa. Na hii dashbord ni ya kupika pia. hatuwezi kuwa tumepima watu wachache hivyo
ni uongo tena wa hali juu sababu kabla viwanja vya ndege na mipaka kufungwa abiria wote kutoka nje walikuwa wakipimwa airport ndege zote na mabasi yote toka nje ya nchi

hiyo dash board ya uongo wachina pekee watalii walikuwa wakiingia si chini ya mia sita kwa wiki wote wakipimwa uwanja wa ndege wa dar na kilimanjaro na zanzibar bado hujaongelea mabasi ya kutoka kenya,uganda,rwanda,burundi,zambia ,malawi,zmibabwe,msumbiji

takwimu za mleta mada za uongo
 
Jana Rais analalamika mpaka pamba ile ya kuchukua kipimo inaagizwa. Wanabana matumizi. Halafu 652 kwa watu million 60 ni utani huo. Ina maana kuna wagonjwa kibao wana virus na hawajadhibitishwa.
Halafu kati ya vipimo 652 watu 480 positive.
Kazi ipo.
Kuna kila aina ya mkanganyiko wa mambo huu ni ufisadi mkubwa wa kitaaluma.
 
652 toa tests za oil chafu, mbuzi, kondoo, papai, fenesi, kware etc. Zinabaki 630. Donor Country indeed.
 
hii nchi mchawi wake ni ccm, ikitoka tu utaona nchi inakimbia mpaka tutashangaa,
ccm kila mtu yupo kuangalia wapi atainyonya nchi

Naamini hiki ulichosema ni kweli 100%
 
Back
Top Bottom