DAFU NA NDIMU
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,497
- 5,090
Pamoja sana mkuu.Asante sana mkuu, maana nawaelewesha hawaelewi. Yani kusema ukweli watanzania hasa wa CCM wana vichwa vigumu sana!
Hangaika na wabunge walikataa kuburuzwa na Mwenyekiti wa Maisha Mbowe!Kwa mujibu wa takwimu hizi basi ni dhahiri kuna uzembe mkubwa sana unaendelea nchini dhidi ya mapambano ya ugonjwa huu wa COVID 19.
Kwa mujibu wa takwimu hizi ni lazima hatua zichukuliwe kubaini nani ni mzembe na ni nani mkwamishaji wa mapambano haya. Tunawashangaa WHO, IMF na world bank kutupa kisogo kwenye haya mapambano kumbe hatufanyi chochote kile!
Oneni wenyewe
View attachment 1439624
Kazini kwetu tuko wafanyakazi zaidi ya 1000 na tunapimwa kila tunapooingia kazini wewe hiyo idadi ya 600 umeitoa wapi tuache kupika dataKwa mujibu wa takwimu hizi basi ni dhahiri kuna uzembe mkubwa sana unaendelea nchini dhidi ya mapambano ya ugonjwa huu wa COVID 19.
Kwa mujibu wa takwimu hizi ni lazima hatua zichukuliwe kubaini nani ni mzembe na ni nani mkwamishaji wa mapambano haya. Tunawashangaa WHO, IMF na world bank kutupa kisogo kwenye haya mapambano kumbe hatufanyi chochote kile!
Oneni wenyewe
View attachment 1439624
Jana Rais analalamika mpaka pamba ile ya kuchukua kipimo inaagizwa. Wanabana matumizi. Halafu 652 kwa watu million 60 ni utani huo. Ina maana kuna wagonjwa kibao wana virus na hawajadhibitishwa.
Halafu kati ya vipimo 652 watu 480 positive.
Kazi ipo.
73.6%Hapa niasilimia ngapi kwa upimaji huu kwa maambukizi,????
ndio zenu tunawajua 😗😗😗😗😗😗😗😗😗😗Nchi hii imeharibiwa pa kubwa na CCM.
mtandao gani huu mkuu?Kwa mujibu wa takwimu hizi basi ni dhahiri kuna uzembe mkubwa sana unaendelea nchini dhidi ya mapambano ya ugonjwa huu wa COVID 19.
Kwa mujibu wa takwimu hizi ni lazima hatua zichukuliwe kubaini nani ni mzembe na ni nani mkwamishaji wa mapambano haya. Tunawashangaa WHO, IMF na world bank kutupa kisogo kwenye haya mapambano kumbe hatufanyi chochote kile!
Oneni wenyewe
View attachment 1439624
Hicho sio kipimo kinachozungumziwa mkuuKazini kwetu tuko wafanyakazi zaidi ya 1000 na tunapimwa kila tunapooingia kazini wewe hiyo idadi ya 600 umeitoa wapi tuache kupika data
Kenya wanapima 5,000 kwa siku sisi miezi yote tumepima 600 tu. Jiwe jiwe kweli [emoji23]
Tumwamini nani kati yenu?Kenya wanapima vipimo 1000 na zaidi kwa siku. Hadi Uganda wametupita. Kweli hii epidemic itafagia sana tena sana.
Aise.Kazini kwetu tuko wafanyakazi zaidi ya 1000 na tunapimwa kila tunapooingia kazini wewe hiyo idadi ya 600 umeitoa wapi tuache kupika data
That's the way the cookie crumbles!Jiwe hatiki kuamini kabisa kuwa corona ipo inamaliza watu
Milioni 7 kwa watu milioni 330 sio mbaya wanajaribu.Mleta mada sielewi hasa lengo.lako mini? Mfano marekani huko iliko IMF na World Bank INA watu milioni 330 waliopimwa hadi sasa ni milioni saba tu watu miloni 333 hawajapimwa!!!
Mnapimwa joto na si sampleKazini kwetu tuko wafanyakazi zaidi ya 1000 na tunapimwa kila tunapooingia kazini wewe hiyo idadi ya 600 umeitoa wapi tuache kupika data
Hivi kumwita mwingine bwege sio matusi. au unajifanya wewe tu ndo unaweza kuita wengine majina mabaya ila wewe ukiitwa umetukanwa?.Mlishabakiza matusi tu
Je zile sampuli alizotaja bosi Jana zipo kwenye orodha?Tuelewane hapa
Takwimu zilizopo sio halisi
Wamepimwa wengi sana na + ni wengi sana na vifo ni vingi sana ila hazitangazwi