Hatimaye takwimu za waliopimwa COVID 19 Tanzania zatoka hadharani, wamepimwa watu 652 tu kwa muda wote!

Hatimaye takwimu za waliopimwa COVID 19 Tanzania zatoka hadharani, wamepimwa watu 652 tu kwa muda wote!

Asante sana mkuu, maana nawaelewesha hawaelewi. Yani kusema ukweli watanzania hasa wa CCM wana vichwa vigumu sana!
Pamoja sana mkuu.
Misukule kuelewa inaweza kuchukua karne nzima.

Walishaambiwa kipimo kilikuwa kimoja tu Dar hapa. Huko airports wangepimia nini sasa. Tena tuliambiwa kabisa kuwa airport hawapimi corona ila joto. Likizidi unaenda kupimwa. Hapa amekomaa kuwapotosha watu.
 
Kwa mujibu wa takwimu hizi basi ni dhahiri kuna uzembe mkubwa sana unaendelea nchini dhidi ya mapambano ya ugonjwa huu wa COVID 19.

Kwa mujibu wa takwimu hizi ni lazima hatua zichukuliwe kubaini nani ni mzembe na ni nani mkwamishaji wa mapambano haya. Tunawashangaa WHO, IMF na world bank kutupa kisogo kwenye haya mapambano kumbe hatufanyi chochote kile!

Oneni wenyewe
View attachment 1439624
Hangaika na wabunge walikataa kuburuzwa na Mwenyekiti wa Maisha Mbowe!
 
Kwa mujibu wa takwimu hizi basi ni dhahiri kuna uzembe mkubwa sana unaendelea nchini dhidi ya mapambano ya ugonjwa huu wa COVID 19.

Kwa mujibu wa takwimu hizi ni lazima hatua zichukuliwe kubaini nani ni mzembe na ni nani mkwamishaji wa mapambano haya. Tunawashangaa WHO, IMF na world bank kutupa kisogo kwenye haya mapambano kumbe hatufanyi chochote kile!

Oneni wenyewe
View attachment 1439624
Kazini kwetu tuko wafanyakazi zaidi ya 1000 na tunapimwa kila tunapooingia kazini wewe hiyo idadi ya 600 umeitoa wapi tuache kupika data
 
Hapa niasilimia ngapi kwa upimaji huu kwa maambukizi,????
Jana Rais analalamika mpaka pamba ile ya kuchukua kipimo inaagizwa. Wanabana matumizi. Halafu 652 kwa watu million 60 ni utani huo. Ina maana kuna wagonjwa kibao wana virus na hawajadhibitishwa.
Halafu kati ya vipimo 652 watu 480 positive.
Kazi ipo.
 
Leo kuna mtu amemtukana baba yake mzazi bila kukusudia kwa sababu ya kushabikia mispeech isiyooelewaka. Baadaye alimwomba samahani lakini ukweli utabaki pale pale alishamtukana
 
Kwa mujibu wa takwimu hizi basi ni dhahiri kuna uzembe mkubwa sana unaendelea nchini dhidi ya mapambano ya ugonjwa huu wa COVID 19.

Kwa mujibu wa takwimu hizi ni lazima hatua zichukuliwe kubaini nani ni mzembe na ni nani mkwamishaji wa mapambano haya. Tunawashangaa WHO, IMF na world bank kutupa kisogo kwenye haya mapambano kumbe hatufanyi chochote kile!

Oneni wenyewe
View attachment 1439624
mtandao gani huu mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji15][emoji40][emoji15][emoji40][emoji15][emoji40]

Sent using [emoji106]
 
Mleta mada sielewi hasa lengo.lako mini? Mfano marekani huko iliko IMF na World Bank INA watu milioni 330 waliopimwa hadi sasa ni milioni saba tu watu miloni 333 hawajapimwa!!!
Milioni 7 kwa watu milioni 330 sio mbaya wanajaribu.

Ila 652 kwa watu zaidi ya milioni 50,!!! Huu ni utani asee kama ni kweli
 
Tuelewane hapa
Takwimu zilizopo sio halisi
Wamepimwa wengi sana na + ni wengi sana na vifo ni vingi sana ila hazitangazwi
Je zile sampuli alizotaja bosi Jana zipo kwenye orodha?
 
Back
Top Bottom