DAFU NA NDIMU
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,497
- 5,090
Pamoja sana mkuu.Asante sana mkuu, maana nawaelewesha hawaelewi. Yani kusema ukweli watanzania hasa wa CCM wana vichwa vigumu sana!
Misukule kuelewa inaweza kuchukua karne nzima.
Walishaambiwa kipimo kilikuwa kimoja tu Dar hapa. Huko airports wangepimia nini sasa. Tena tuliambiwa kabisa kuwa airport hawapimi corona ila joto. Likizidi unaenda kupimwa. Hapa amekomaa kuwapotosha watu.