Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
73.6%Jana Rais analalamika mpaka pamba ile ya kuchukua kipimo inaagizwa. Wanabana matumizi. Halafu 652 kwa watu million 60 ni utani huo. Ina maana kuna wagonjwa kibao wana virus na hawajadhibitishwa.
Halafu kati ya vipimo 652 watu 480 positive.
Kazi ipo.
Naona umekuja kwa kasi, ungesoma vizuri ungejua nimewaondoa hofu wanao ona uwiano wa waliopima na idadi ya walio kutwa na ugonjwa ni kubwa sana.Unafikiri kupima ni sawa na kwenda kununua bagia?
Mbona mpaka sasa unapumua na kutoa ushuzi? Bwege la CdmYaani tumeachwa tujifie kama Ng'ombe vile. Ila I swear wote ambao wapo behind haya yanayoendelea wataanza kuondoka wao na corona.
Wadau someni mazingira msikimbile kuandika namba bila kuzitafsiri katika mazingira husika ya kuchukuliwa vipimo.73.6%
Jana Rais analalamika mpaka pamba ile ya kuchukua kipimo inaagizwa. Wanabana matumizi. Halafu 652 kwa watu million 60 ni utani huo. Ina maana kuna wagonjwa kibao wana virus na hawajadhibitishwa.
Halafu kati ya vipimo 652 watu 480 positive.
Kazi ipo.
Upo sawa lakini unapishana na mwenye nyumba. Mabeberu itakuwa wameweka vibaraka wao kule labWadau spmeni mazingira msikimbile kuandika namba bila kuzitafsiri katika mazingira husika ya kuchukuliwa vipimo.
Hiyo ni kama sakata la walipima DNA kama kutambua baba wa mtoto, asilimia kubwa nadhani 40 na kitu walikutwa ni watoto wa kubambikiwa baba husika, hii ilitokana na waliojitokeza kupima ni wale tu ambao tayari kulikuwa na migogoro ya ndoa na kukosa uaminifu.
Kama wangepimwa watu randomly takwimu zingekuwa tofauti, idadi ya waliobambikiwa ingekuwa chini sana.
Vivyo hivyo wengi wa walio pimwa COVID-19 ni wale walio onesha dalili na wale waliokutana na waliokutwa na ugonjwa, kwahivyo ni lazima ionekane waliokuwa na ugonjwa kati ya waliopimwa wote ni wengi sana.
Et mbona nchi za mabeberu cases ni nying. Coz wanapima watu na wako transparent. Usikute huku wafu ni wengi sana sema hatujui tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mpaka sasa unapumua na kutoa ushuzi? Bwege la Cdm
Lengo la kumpima mtu ni ili umtenge asiambukize wengine na umfanyie matibabu vilevile pale atakapozidiwa. Hivi mbona watu hamna akili kabisa? Mkoje nyie?Je wakishapimwa huwa wanapewa nni wailoambukizwa? Hapo ni kujisifu ujinga tu,
Unampima mtu unamkuta ana ugonjwa na alikuwa mzima kisha humtibu unamwambia hakuna dawa anapata hofu anakufa sasa nani muuaji kama sio wewe uliyempima
Mlishabakiza matusi tuKampikie mume wako kwanza. then uende lumumba ukagawe hiyo 065 wewe changu.
Hata mimi sijaelewa kitu to be honest
Kwa hiyo sampling Ina maana 75% ya watanzania Wana korona a very horrible observationJana Rais analalamika mpaka pamba ile ya kuchukua kipimo inaagizwa. Wanabana matumizi. Halafu 652 kwa watu million 60 ni utani huo. Ina maana kuna wagonjwa kibao wana virus na hawajadhibitishwa.
Halafu kati ya vipimo 652 watu 480 positive.
Kazi ipo.