lulu za uru
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,557
- 3,221
Kupitia kituo cha ITV Leo tamthilia ya Isidingo the need imefikia tamati, kwa kumbukumbu sikumbuki ilianza lini hasa ninachokumbuka ni kitambo sana enzi hizo nyumba zenye televisions zilikuwa zinahesabika kipindi hicho tulikuwa tunaita Video hahaaaa wengi walioanza kuisikia sikia enzi hizo ni 30+
Jamani mliomo humu ndani kama tamthilia hiyo ulianza nayo tangu hukoo na huna familia inayokutegemea anza kujitafakari hahaaaa natania tuu... hata hivyo mwisho wake haujanipa satisfaction kwakweli ni kama kuna part two ambapo imeishia mafioso Mr sibeko amepigwa risasi na mwanamke tusiyemjua Mara akawa kama amefariki Mara akafungua macho, chapter iliyofungwa vizuri ni ya Sechaba na Phindile...
Sibiya hatma yake na mkewe haijajulikana na watoto hatujaelewa ni wa sibiya au LA...hatma ya Nina zamdela,familia ya Lategans ,na ntando.....
all in all hii inabaki kuwa moja ya tamthilia bora kabisa nilizowahi kutizama..wajuzi wa mambo humu ndani hii kitu Ina muendelezo?