Hehehe persens mkuu.Zamani kulikuwa na days of our life, sunset beach. Ila ITV kulikuwa na acupulco bay nk. Hii niliingalia toka epsodi wani, kipindi nnaye mkumbuka ni Nandipa alikuwa na boyfriend wake nimemsahau kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hehehe persens mkuu.Zamani kulikuwa na days of our life, sunset beach. Ila ITV kulikuwa na acupulco bay nk. Hii niliingalia toka epsodi wani, kipindi nnaye mkumbuka ni Nandipa alikuwa na boyfriend wake nimemsahau kidogo
Hii tamthilia haijawahi isha hadi sasa inaendelea kuoneshwa, imeanza kuoneshwa mwaka 1965 hadi sasa! Isidingo ni cha mtoto!Naam hiyo ndio shida, aisee Mimi niliacha kuiangalia Mr.nyati alivopotea.
Na The days of our life nilikua siitilii kuna tulikua tunaangalia ndugu yetu yaani hiyo tamthilia haiishi mpaka ule unga wa juu ushuke chini mwanzo inapoanza wanaonyesha kama chupa si chupa inaunga juu na chini