Hatimaye tamthilia ya Isidingo yafika mwisho

Hatimaye tamthilia ya Isidingo yafika mwisho

Zamani kulikuwa na days of our life, sunset beach. Ila ITV kulikuwa na acupulco bay nk. Hii niliingalia toka epsodi wani, kipindi nnaye mkumbuka ni Nandipa alikuwa na boyfriend wake nimemsahau kidogo
Watu walizaa watoto wakawaita Dereck Nyati kisa Nyota wa Isidingo. Balaa sana
 
Piere Devilious Mzee Boss Mkuu wa Mgodi Mkewe alikuja kuliwa na Dogo ambaye alikuja funikwa na Mgodi... Papa G alikuwa bonge la Don.. Mapenzi ya Derick Nyati na Philipa niliyapenda sana...

Kulikuwa na Mnaigeria anaongea Kiswahili..

Bila Kumsahau Mtanzania wetu aliyeigiza Isidingo Sauda Simba
Sauda Simba si alikuwa kwenye Egoli?
 
Hii si ndo tamthilia washiriki wanakufa kweli?
Ukisikia mtu anaumwa au kafa ujue kafa kweli?
Tamthilia miaka 40???
Ni kweli mkuu ila, haijafika miaka 40
Ni miaka 20++
20210306_153047.jpg
 
Yeah uko sahihi wengi wanakurupuka na kuandika imefika miaka 30 View attachment 1718610
Tatizo wengi wamepata fahamu wameikuta hivyo wanaconclude ya miaka mingi. Mi niliiangalia toka day one. Niliacha pale yule babu black alipouawa kule mgodini, nikaona hainivutii tena nikaachana nayo. Tamthiria ya days of our life niliipenda sana, ila CTN sijui DTV vile wakaacha kuionesha wakaanza kuonesha tamthilia za kisasa
 
Ingawa mwendo tumeumaliza wametufikisha kileleni
Kwa sasa ITv wamehamia kwenye UZALO soon wanakinukisha kmk ITV mpo juu.

Isidingo umenipa talaka ghafla sana
 
Isidingo ina miaka 21
 
Sunset beach iyo weka mbali na watoto,makamuzi live live bila changa!
Ilisababisha mpaka watu wailaani Tv station kwa ajili ya mavazi na makamuzi. Ila ni kawaida tu tatizo ulikwa wakati. Nadhani ikioneshwa leo hakuna atakaeona cha ajabu sana
 
Tatizo wengi wamepata fahamu wameikuta hivyo wanaconclude ya miaka mingi. Mi niliiangalia toka day one. Niliacha pale yule babu black alipouawa kule mgodini, nikaona hainivutii tena nikaachana nayo. Tamthiria ya days of our life niliipenda sana, ila CTN sijui DTV vile wakaacha kuionesha wakaanza kuonesha tamthilia za kisasa
Naam hiyo ndio shida, aisee Mimi niliacha kuiangalia Mr.nyati alivopotea.

Na The days of our life ilikua hainivutii, tulikua tunaangalia kuna ndugu yetu alituambia tamthilia haiishi mpaka ule unga wa juu ushuke chini mwanzo inapoanza wanaonyesha kama chupa si chupa inaunga juu na chini
 
Watu walizaa watoto wakawaita Dereck Nyati kisa Nyota wa Isidingo. Balaa sana
Hahaha asee!
Haya mambo bana.

Umenikumbusha enzi za Mwinyi kuna mjomba angu alimuita mwanaye Hassan kwa sababu ya kuzaliwa kwenye utawala wake.
 
Kitu ambacho wengi hamkijui ni kwamba Isidaingo (kama alivyokua anatamka mjomba wangu kipindi icho) haijaisha sema imelazimikia kukatishwa kutokana na ratiba za rugby kuingiliana pia kuna masilahi flani hayapo sawa.
 
Ingawa mwendo tumeumaliza wametufikisha kileleni
Kwa sasa ITv wamehamia kwenye UZALO soon wanakinukisha kmk ITV mpo juu.

Isidingo umenipa talaka ghafla sana

Mkuu una uhakika ITV wanaanza kuonyesha UZALO hivi karibuni?
 
Back
Top Bottom