Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Wametangaza Jana wakaonyesha na trailer kidogo wakasema soonMkuu una uhakika ITV wanaanza kuonyesha UZALO hivi karibuni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wametangaza Jana wakaonyesha na trailer kidogo wakasema soonMkuu una uhakika ITV wanaanza kuonyesha UZALO hivi karibuni?
Mbona wao wameandika mwisho?Kitu ambacho wengi hamkijui ni kwamba Isidaingo (kama alivyokua anatamka mjomba wangu kipindi icho) haijaisha sema imelazimikia kukatishwa kutokana na ratiba za rugby kuingiliana pia kuna masilahi flani hayapo sawa.
Isidingo The Need.
La Mujer De Mi Vida.
Acapulco Bay.
Haya madude yalikua yananiudhi kinoma. Bora ilo Acapulco lilikua na show show kiasi chake.
Kitu ambacho wengi hamkijui ni kwamba Isidaingo (kama alivyokua anatamka mjomba wangu kipindi icho) haijaisha sema imelazimikia kukatishwa kutokana na ratiba za rugby kuingiliana pia kuna masilahi flani hayapo sawa.
Duhh mzee alikuwa ni shida yaani ukisikia Sibeko Lincoln Sibeko alikuwa anavaa uhusika hasa na yeye chupi ilikuwa haimpiti akiipenda hakuna mwanamke alikuwa anapindua kwake pale horizon deep mpaka Nina zamdela yeye akijiita nina escobar alipita nayeBinafsi pia..
Kama ile part ya jana anamuua Mayekiso alicheza vizuri sana.
Lakini kwa urefu isidingo the need imevunja rekodi!
Wametangaza Jana wakaonyesha na trailer kidogo wakasema soon
Ifuatiliye online you tube inaendeleaKupitia kituo cha ITV Leo tamthilia ya Isidingo the need imefikia tamati, kwa kumbukumbu sikumbuki ilianza lini hasa ninachokumbuka ni kitambo sana enzi hizo nyumba zenye televisions zilikuwa zinahesabika kipindi hicho tulikuwa tunaita Video hahaaaa wengi walioanza kuisikia sikia enzi hizo ni 30+
Jamani mliomo humu ndani kama tamthilia hiyo ulianza nayo tangu hukoo na huna familia inayokutegemea anza kujitafakari hahaaaa natania tuu... hata hivyo mwisho wake haujanipa satisfaction kwakweli ni kama kuna part two ambapo imeishia mafioso Mr sibeko amepigwa risasi na mwanamke tusiyemjua Mara akawa kama amefariki Mara akafungua macho, chapter iliyofungwa vizuri ni ya Sechaba na Phindile...
Sibiya hatma yake na mkewe haijajulikana na watoto hatujaelewa ni wa sibiya au LA...hatma ya Nina zamdela,familia ya Lategans ,na ntando.....
all in all hii inabaki kuwa moja ya tamthilia bora kabisa nilizowahi kutizama..wajuzi wa mambo humu ndani hii kitu Ina muendelezo?
Binafsi pia..
Kama ile part ya jana anamuua Mayekiso alicheza vizuri sana.
Ndiyo nilikuwa naangalia vipi kwani?Kweli una moyo wa pekee mpk jana ulikua unangaalia? Sasa imagine huo muda ungewekeza kwy kitu kingine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usipanic lkn.
Ifuatiliye online you tube inaendelea
Mkuu nini maana ya neno ISIDINGO?Kupitia kituo cha ITV Leo tamthilia ya Isidingo the need imefikia tamati, kwa kumbukumbu sikumbuki ilianza lini hasa ninachokumbuka ni kitambo sana enzi hizo nyumba zenye televisions zilikuwa zinahesabika kipindi hicho tulikuwa tunaita Video hahaaaa wengi walioanza kuisikia sikia enzi hizo ni 30+
Jamani mliomo humu ndani kama tamthilia hiyo ulianza nayo tangu hukoo na huna familia inayokutegemea anza kujitafakari hahaaaa natania tuu... hata hivyo mwisho wake haujanipa satisfaction kwakweli ni kama kuna part two ambapo imeishia mafioso Mr sibeko amepigwa risasi na mwanamke tusiyemjua Mara akawa kama amefariki Mara akafungua macho, chapter iliyofungwa vizuri ni ya Sechaba na Phindile...
Sibiya hatma yake na mkewe haijajulikana na watoto hatujaelewa ni wa sibiya au LA...hatma ya Nina zamdela,familia ya Lategans ,na ntando.....
all in all hii inabaki kuwa moja ya tamthilia bora kabisa nilizowahi kutizama..wajuzi wa mambo humu ndani hii kitu Ina muendelezo?
Ilianza baada ya kukatishwa Egoli,niliipenda sana egoli japo nilikua sielewi lugha ya mzungu. Kisha ikaja isidingo,nilivutiwa na sare za shule za letti kama za akina sarafina vile
Umesahau Back stage..Ilianza baada ya kukatishwa Egoli,niliipenda sana egoli japo nilikua sielewi lugha ya mzungu. Kisha ikaja isidingo,nilivutiwa na sare za shule za letti kama za akina sarafina vile
Egoli...place of gold ni ya zamani zaidi kuliko hiyo Isidingo. Egoli ndo ya mwanzoni kabisa ITVHe
Hebu nitajie hiyo ya zamani kwa hapa Tz ni IPI?Isidingo anachukua namba moja mkuu...walikuja kina the bold n beatutyfull,lamujer de mivida,de Lorenzo,secretory de amor kina the promise na nyingine nyingi ila Isidingo ikabaki!
Maisha ndio hayahaya mkuu kwani kuna shida gani MTU uka relax kwa kuangalia movie au tamthilia? Ina maana wote ambao hutizama hawana akili?Kweli una moyo wa pekee mpk jana ulikua unangaalia? Sasa imagine huo muda ungewekeza kwy kitu kingine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usipanic lkn.
Maisha ndio hayahaya mkuu kwani kuna shida gani MTU uka relax kwa kuangalia movie au tamthilia? Ina maana wote ambao hutizama hawana akili?