Mkungunero
JF-Expert Member
- Aug 13, 2023
- 401
- 569
TEC ilikuwa ikiheshimika sana kiasi ambacho watu walidhani ndio wanaiongoza nchi indirectly. Sasa unaweza kudanganya watu lakini siyo siku zote.
Kumbe watu wamejua kuwa kelele zao ilikuwa udini tu sawa na ule wimbo wa Prof. Jay kwamba wanatangaza amani huku wameficha mapanga. Kilichokuwa kinapingwa na wao siyo mkataba ule bali ni watu gani wanakuja.
Hapo awali wadau mbalimbali walifafanua kuwa ule haukuwa mkataba Bali maafikiano tu ya ushirikiano wa kibiashata. Wao wakapinga sana na kusema ule ndio mkataba wenyewe na mpaka kuandika waraka wala hawakuhitaji kabisa kuelimishwa kitu ambacho kisipelekea wao kuandika waraka i.e walikurupuka na inaonesha uwezo wao mdogo wa kuainisha mambo.
Siku nyingine wawe wanakaa kwa kina kabla ya matamko ili kurudisha credibility yao japo maji yakimwagika hayazoleki.