wa ukae
JF-Expert Member
- Aug 11, 2008
- 2,720
- 2,151
Hongera Mkuu huu ndio ukweli mchungu baadhi ya watu wanajalibu kuupindishaWatu waliambiwa Mkataba halisi wa DP World na TPA ndio uta specify muda wakawa wajuaji sana
Mkataba wa Nchi na Nchi ni kama MoU tu hauna haja ya kuwa na muda, muda unawekwa kwny Mkataba halisi watu kwa chuki zao wakapotosha
Mkataba halisi jana ndio umesainiwa na muda umewekwa na mijitu imeumbuka
Uongo hupanda kwa haraka sana na kushuka kwa kasi hiyo hiyo