Wewe uliyepaka pilipili[emoji276] kwenye toilet paper za vyoo vya hapa stendi kuu ya mabasi Ubungo[emoji590].. nakuambia hivi pepo utaisikia kwa wenzako tu malipo hapahapa duniani[emoji52]
Yaani ipo siku yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji119][emoji119][emoji30][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]
Hapana mkuu sina roho mbaya kiasi hicho..ndio wewe ulipaka mkuu?
halafu nasikia yanga hawajamalizana na mganga wao aliyewapa ushindi kwa simba....hivi ulozi una nguvu hata baada ya tukio la kilozi kupita?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni kweli kuna ufisadi wanaousika na hizo toiletpaper wanataka zisitumike labda wanajukumu la kuweka toilet P 200 kwa siku sasa zinatumika 20 tu Pesa inapigwaWewe uliyepaka pilipili[emoji276] kwenye toilet paper za vyoo vya hapa stendi kuu ya mabasi Ubungo[emoji590].. nakuambia hivi pepo utaisikia kwa wenzako tu malipo hapahapa duniani[emoji52]
Yaani ipo siku yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wee mleta uzi chenga sana, ndyo maana umewekewa pilipili na umekoma[emoji3][emoji3]
Asiombe apate kuharisha hapo hapo[emoji23]Wee mleta uzi chenga sana, ndyo maana umewekewa pilipili na umekoma[emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3],aisee hizi comments mi hoiiAsiombe apate kuharisha hapo hapo[emoji23]
Mtamuokota huyo nawaambia
Na kama ilianza kumuwasha wakati yuko kwenye daladala, hawezi kujikuna...atakuwa anatoa machozi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Si ajabu chupi ishaungua...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]Asiombe apate kuharisha hapo hapo[emoji23]
Mtamuokota huyo nawaambia