Hatimaye Toilet paper za Vyoo vya Ubungo Terminal zapakwa Pilipili

Hatimaye Toilet paper za Vyoo vya Ubungo Terminal zapakwa Pilipili

Akishatumia maji, atajikausha na nini ili aweze kuvaa nguo zake?
Boxer/Chupi au suruali/pensi Kama havai hivyo vya mwanzo itafanya kazi ya kukausha mbele ya Safari mkuu

Typed Using KIDOLE
 
Yaani choo cha umma halafu bongo eti toilet paper ipo tu hapo haijapitiwa
Kweli mmekuwa wazalendo


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Akishatumia maji, atajikausha na nini ili aweze kuvaa nguo zake?

Kujikausha ni udwanzi,unakata zako gogo then unavaa zako nguo bila kutumia hio toilet paper/wala kutumia maji unasepa zako kwenda kuchapa kazi.
 
mhh pole sana, wakati unaichana hiyo TP haikuonyesha kama kupakazwa kitu.
 
Hahaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio kwa kuwashwa huko kwenye malinda

sent from toyota Allex
 
Ila fikisha malalamiko kwa Uongozi hapo stend wakichukulia poa waambie taarifa ipo mitandaoni siku si nyingi atapewa mtu kesi ya kutokuwajibika ......
 
Back
Top Bottom