Huko wenzetu mnao chekea kwa chini mafuta ni bei gani??Nilishasema hapa kama Trump angejua ana dili na nani asingepoteza muda kuweka mikwara mingi pasipo suruhisho sasa akili imemkaa na ameamua kwenda china kupiga magoti na kumsihi china amshawishi Iran afungue Horms
Ngoja nicheke kwa chini chini kwi kwi kwi kwi kwi......
Trump ni kama kibogoyo !!!๐๐๐ Afungue Hormuz halafu Hela ya kujenga Nchi Yao waitoe wapi !? Hakuna meli kupita Bure Iran wanahitaji tax ili waijenge Nchi Yao USA wao siwababe waipige Iran mpaka Iran waombe Pooh wenyewe waufungue mlango wa Hormuz kama wanashindwa kufanya hivyo basi wawaache Iran waendelee kutamba waliwachokoza wenyewe lakini
๐๐๐๐๐๐๐๐Iran kamatieni hapo hapo mpaka kieleweke Hormuz watoe kiasi ama wapite angani