Kumbe ulimaanisha nn.mkuuMkuu sina maana hiyo
Hapana mkuu sio huyo ingia you tube angalia video zake ni jamaa mmoj hivi mrefu hiyo tu ni video wanacheza ila yeye hapo hayupoEddy Kenzo ndio huyu mwenye gauni?
Kwani wew mkuu umenielewajeKumbe ulimaanisha nn.mkuu
Acha uongo eddy alishinda bet kipengele cha peoples choice awards na hakuwa category moja na davido wala diamond yeye alikuwa na wasaani wengine km casper na kura zilikuwa zinapigwa kwa hastags insta mwenywe nyingi ndo anakuwa mshindiMnaomponda Eddy Kenzo mkumbuke Jamaa Kashnda hadi BET,.
Tena alikua contested Mara Moja Tu Akashinda Mbele Ya Akina Davido.,
Huyo Diamond Kawa Contested Mara Mbili Zote Kapgwa chini.
Ooh! Kumbe Ni haki yake....Kampala moko mtoto wa Nakasero huyo
afu tim kiba walivo na akili ndogo walikuwa wanampigia kura kumkomoa domo mwisho wa siku wamekosa woteIngekua kichekesho Tanzania waandae mashindano afu ashinde mganda au mkenya tungekua bogas chibu ur da baddest man iyo sio ishu mbona acha wampe ndugu yao kwani we mjukuu wa nduli idd amin
Uwiiiiiii nimeupenda huo Wimbo .Eddy Kenzo ndio huyu mwenye gauni?
ugandaEddy Kenzo Ni Msanii toka nchi gani?
Kwao masakaKampala moko mtoto wa Nakasero huyo