Hatimaye Tuzo za Uganda-2016.Eddy Kenzo is the winner. Diamond No!!

Hatimaye Tuzo za Uganda-2016.Eddy Kenzo is the winner. Diamond No!!

Mnaomponda Eddy Kenzo mkumbuke Jamaa Kashnda hadi BET,.
Tena alikua contested Mara Moja Tu Akashinda Mbele Ya Akina Davido.,

Huyo Diamond Kawa Contested Mara Mbili Zote Kapgwa chini.
Acha uongo eddy alishinda bet kipengele cha peoples choice awards na hakuwa category moja na davido wala diamond yeye alikuwa na wasaani wengine km casper na kura zilikuwa zinapigwa kwa hastags insta mwenywe nyingi ndo anakuwa mshindi
 
Ingekua kichekesho Tanzania waandae mashindano afu ashinde mganda au mkenya tungekua bogas chibu ur da baddest man iyo sio ishu mbona acha wampe ndugu yao kwani we mjukuu wa nduli idd amin
 
Tuzo zingine hazina tofauti na Kili,Diamond anatisha Africa nzima anateuliwa mtu anaeimba kwa luganda?
 
Ingekua kichekesho Tanzania waandae mashindano afu ashinde mganda au mkenya tungekua bogas chibu ur da baddest man iyo sio ishu mbona acha wampe ndugu yao kwani we mjukuu wa nduli idd amin
afu tim kiba walivo na akili ndogo walikuwa wanampigia kura kumkomoa domo mwisho wa siku wamekosa wote
 
Wanawapromoti wasanii wa Uganda, lakini ukweli awajulikaniki apa east Africa
 
aaaaashhh... sasa hiz n figisu za waz jman.. D alistahli kbisaaaa
 
Huyo kiwango chake sio kumlinganisha na diamond yeye ni sawa baraka da prince
 
Kama hao waganda wangealia kura zilizopigwa basi alikiba angeshinda tuzo zote cha ajabu huyo eddi kenzo hakumshinda alikiba kwenye category ya aina yoyote
Hizo tuzo wamempa tu na wala hawajaangalia kura
 
Back
Top Bottom