Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Sawa.Ngoja atoke kipenzi Samia aje Lissu.🙏😎Wagombea zangu Wana Akili ,waungwana na wanajua wajibu wao ni kutengeneza maisha ya watu sio Kuharibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa.Ngoja atoke kipenzi Samia aje Lissu.🙏😎Wagombea zangu Wana Akili ,waungwana na wanajua wajibu wao ni kutengeneza maisha ya watu sio Kuharibu
Nadhani unaandika kwa ushabiki.Hata ukimiliki 90% hakuna Cha maana unafanya zaidi ya Kuharibu maisha eg awamu ya 5 😂😂
My Take
Hili liwe funzo Kwa Afrika Kusini maana mtu mweusi hakuna kitu anakiweza zaidi ya uharibifu Afrika Kusini: Serikali Kunyakua Ardhi Kwa Nguvu kutoka Kwa Wazungu Bila Fidia
View: https://youtu.be/F9GD9DgC-mM?feature=shared
Soma zaidi hapa Siasa za Kukurupuka: Hatimaye Zimbabwe Yaanza Kuwafidia Mabilioni Wakulima wa Kizungu Walioporwa Mashamba Yao na Mugabe
Sahihi kabisaKwa hiyo na Tanzania tuwarudishie wazungu mashamba ili turudi kwenye uchumi wa kati chini?
Mtu anatawala anageuza nchi mali ake, angalia huyu wa kwetu, hakuna la maana anafanya hana mradi wowote alioanzisha tangu 2021, mradi mkubwa ni wa chawa pekeeHaya ni Madhara yatokanayo na kuwa na Watawala Madikteta ambao hawashauriki.
Ushabiki wa nini? Uliwahi sikia njaa Zimbabwe kabla ya Wazungu kuporwa Ardhi?Nadhani unaandika kwa ushabiki.
Itakuwa ni another disaster , tofauti ni Majina na Vyama tuu ila tabia na hulka ni zile zile.Sawa.Ngoja atoke kipenzi Samia aje Lissu.🙏😎
Acha uzembe, rudia kusoma somo la HistoriaKwa hiyo na Tanzania tuwarudishie wazungu mashamba ili turudi kwenye uchumi wa kati chini?
Nikufundishe au nirudie kusoma?Kuwa makini mkuu.Acha uzembe, rudia kusoma somo la Historia
Kima waliochangamka.Wazungu= Watu
Waafrika= ?
Ni kama siasa za awamu ya nne za kila kitu BRNKwa hiyo na Tanzania tuwarudishie wazungu mashamba ili turudi kwenye uchumi wa kati chini?
Waliporwa? Waliyapataje? Kwanini watanzania hawana mashamba pale Uingereza? Ulitaka ukoloni ubaki? Unaweza kutupa ushahidi wa jinsi walivyopata hayo mashamba kihalali? Ulitusaidia nini? Hivi hua mnashirikisha ubongo kabla ya kuandika?Waliporwa mwaka 1967 wakati wa Azimio la Arusha. Waliporwa mashamba, waliporwa migodi, waliporwa viwanda hadi majengo.
Wakati huo uchumi wa Tanganyika ulikuwa sawa na ule wa Thailand, Malaysia, na Singapore. Leo hayo mataifa yamepaa kiasi cha kutoweza kuyalinganisha kwa chochote na Tanganyika.
Tanzania kuachwa na hayo mataifa siyo kwa sababu ya kupora wazungu mashamba na migodi, zimbabwe ilikua ikihujumiwa tuWaliporwa mwaka 1967 wakati wa Azimio la Arusha. Waliporwa mashamba, waliporwa migodi, waliporwa viwanda hadi majengo.
Wakati huo uchumi wa Tanganyika ulikuwa sawa na ule wa Thailand, Malaysia, na Singapore. Leo hayo mataifa yamepaa kiasi cha kutoweza kuyalinganisha kwa chochote na Tanganyika.
Akili zako ambazo hazijalemaa ziko wapi?Umelemaa kiakili unataka kila mtu awe kama wewe.
Walinunua,nyie mna hela za kununua?Waliporwa? Waliyapataje? Kwanini watanzania hawana mashamba pale Uingereza? Ulitaka ukoloni ubaki? Unaweza kutupa ushahidi wa jinsi walivyopata hayo mashamba kihalali? Ulitusaidia nini? Hivi hua mnashirikisha ubongo kabla ya kuandika?