Hatimaye Uchumi wa Zimbabwe Waanza Kukua tena Baada ya Wazungu Kurejeshewa Mashamba Waliyoporwa na Uwekezaji wa Migodi

Hatimaye Uchumi wa Zimbabwe Waanza Kukua tena Baada ya Wazungu Kurejeshewa Mashamba Waliyoporwa na Uwekezaji wa Migodi

Waliporwa mwaka 1967 wakati wa Azimio la Arusha. Waliporwa mashamba, waliporwa migodi, waliporwa viwanda hadi majengo.

Wakati huo uchumi wa Tanganyika ulikuwa sawa na ule wa Thailand, Malaysia, na Singapore. Leo hayo mataifa yamepaa kiasi cha kutoweza kuyalinganisha kwa chochote na Tanganyika.
Waliporwa? Waliyapataje? Kwanini watanzania hawana mashamba pale Uingereza? Ulitaka ukoloni ubaki? Unaweza kutupa ushahidi wa jinsi walivyopata hayo mashamba kihalali? Ulitusaidia nini? Hivi hua mnashirikisha ubongo kabla ya kuandika?
 
Waliporwa mwaka 1967 wakati wa Azimio la Arusha. Waliporwa mashamba, waliporwa migodi, waliporwa viwanda hadi majengo.

Wakati huo uchumi wa Tanganyika ulikuwa sawa na ule wa Thailand, Malaysia, na Singapore. Leo hayo mataifa yamepaa kiasi cha kutoweza kuyalinganisha kwa chochote na Tanganyika.
Tanzania kuachwa na hayo mataifa siyo kwa sababu ya kupora wazungu mashamba na migodi, zimbabwe ilikua ikihujumiwa tu
 
Zimbabwe ilizilisha nchi za Africa wananchi wa Zimbabwe walikuwa mabonge wameshiba kama wanyakyusa wa mbeya kwa uhakika wa shibe kabla Mugabe hajaingiwa wivu kuwapora watu wake mashamba na kuwagawia makada wake wa chama mashamba yakageuka mapori
 
Back
Top Bottom