Noti bandia
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 2,684
- 4,315
Hata walioweza, ni tofauti na muwekezaji wa nje anaheshimiwa lakini wa ndani sometime unaweza kujuta kuwekeza hapa Africa.Kwa nini waafrika hawawezi uwekezaji?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata walioweza, ni tofauti na muwekezaji wa nje anaheshimiwa lakini wa ndani sometime unaweza kujuta kuwekeza hapa Africa.Kwa nini waafrika hawawezi uwekezaji?
Dewji kumbe ni mzungu? Jf imejaa wajinga wajinga sometimes hata kusoma comments zao ni kuharibu bongo...Pale Tanga tulimnyang'anya Mo Dewji mashamba.Huo ni mfano tu.
Sasa Mo ni Mzungu?Pale Tanga tulimnyang'anya Mo Dewji mashamba.Huo ni mfano tu.
NHC na Msajili wa Majumba zirudishwe kwa mabwanyenye na Bora irudishwe kwa Bata plus akina Smith Mackenzie warudishiwe makampuni yao. Kila aliyeporwa hata taasisi za kidini wote warudishiwe vyao.Hakuna Mashamba waliyoporwa Wazungu hapa Tanzania.
Sema tuwape wawekeze kwenye large scale farming
At least you know the truth, wapumbavu wengi hawaelewi kilichoporomosha uchumi wa Zimbabwe.Chanzo Cha Zimbabwe kuporomoka kiuchumi sio ardhi waliyonyang'anywa Walowezi wa Kizungu bali ni vikwazo vyà kiuchumi.
Hii ni jamii forum ila watu wanajadili hoja kwa mpapaso wa manati badala ya kugusa mpini.
Vikwazo vyà kiuchumi imekuwa siraha kwa mataifa ya magharibi pale maslahi yao yanapoguswa ndio maana mataifa yanataka kujitenga dhidi ya Dola na mfumo mzima wa magharibi.
Maofisini choo tu hawawezi kukitumia sijakupeleka mavyuoniWatu weusi Huwa wanaharibu sana Uchumi eg mtu mweusi wa awamu ya 5 😄😄
Usigangamale na neno "mzungu".Weka neno muwekezaji.Halafu kuhusu utajiri wake Mo,Forbes wanakueleza ni tajiri ila wewe mnyamwezi "tajiri" wa Ntalikwa unakataa na unataka tukuamini kwa sababu hajatoa bilioni 20 pale Simba SC.Ajabu kabisa.Sasa Mo ni Mzungu?
Mo alikuwa hayaendelezi mashamba pia alikuwa anataka kutumia hayo mashamba kama collateral kuchukulia mkopo ADB ndipo JPM akamshtukia....
Mo ni mtoto wa mjini yule,porojo nyingi vitendo hakuna....
Anajifanya kampuni yake inaajiri watanzania wengi kuliko kampuni yeyote....nenda kamuulize HR mwenye Bachelor analipwa shing ngapi,utatoa machozi....Kuna rafiki wa rafiki yangu miaka ya 2015 alikuwa analipwa basic 350,000/= kama siyo uonevu huo ni nn
Acha chuki na kisirani cha kibwege.Huyo ni muwekezaji.Neno mzungu sijui wazungu limekukaa kichwani kama zuzu.Dewji kumbe ni mzungu? Jf imejaa wajinga wajinga sometimes hata kusoma comments zao ni kuharibu bongo...
Tambua Mhindi Mo alipewa nafasi ya kuendeleza mashamba ya mkonge ya serikali kipindi cha mkapa alipokuwa kugawana zawadi kwa matatjili wawekezaji wetu ni bange tupu.. walichakifanya tumeona upuuzi tizama mfano aliyeanzisha ni Chavda raia walitoa machozi..
Nachojua kuna mzungu Usa River walimsumbua sana.. alimiliki hekta nyingi lakini haikuwa hivyo
Wazungu Tanzania hawakuwa na Mashamba. Mfumo wa makoloni ya Mjerumani na Muuingereza ulikuwa tofauti. wakati Muuingereza alipora ardhi ya wazawa katika Makoloni yao na kujigeuza kuwa walowezi, jamnbo hilo ni tofauti kwa iliyokuwa koloni la Mjerumani la east Afrika (Tanganyika). Mjerumani hakupora ardhi nyingi ya Tanganyika ndo maana bado hadi leo hii tuna mapori mengi na ndo kwanza tunawatafuta wawekezaji.Kwa hiyo na Tanzania tuwarudishie wazungu mashamba ili turudi kwenye uchumi wa kati chini?
Hao uliowataja wana akili wakati watanzania tyuna akili ya mdundiko.Waliporwa mwaka 1967 wakati wa Azimio la Arusha. Waliporwa mashamba, waliporwa migodi, waliporwa viwanda hadi majengo.
Wakati huo uchumi wa Tanganyika ulikuwa sawa na ule wa Thailand, Malaysia, na Singapore. Leo hayo mataifa yamepaa kiasi cha kutoweza kuyalinganisha kwa chochote na Tanganyika.
Tunashukuru mkuu, siku hizi JF imekuwa kijiwe Cha wapiga soga badala ya watu wajenga hoja wenye fikra pana.At least you know the truth, wapumbavu wengi hawaelewi kilichoporomosha uchumi wa Zimbabwe.
Zimbabwe ilifinywa hasa, Wazungu linapokuja suala la kuteteana huwa wanaunga na kuweka mbali tofauti zao. Kwa anayejua au aliyekuwa na uelewa wakati Zim inawekewa economic sanctions Wazungu walikuwa wanaua ndege wawili kwa jiwe moja, kuungusha uchumi wa Zimbabwe lakini kikubwa zaidi ilikuwa ni mkwara kwa SA kwamba if they do the Zim shit they'll face the same ordeal. Point yao, genuine point so to say ni kwamba wakati wa kupigania uhuru walikuwa wakipigania land na si kubadilisha tu rangi ya bendera na kubadili rangi ya rais wa nchi.
Sauzi wajipange kwa vikwazo vikali kutoka nchi za magharibi na lawama zitawaangukia watakaokabidhiwa mashamba lakini wamestuka hawatawanyang'anya kijumla bali watayamega na kuwaachia sehemu na blacks(obviously priorities zitaangukia kwa freedom fighters kabla ya wengine) watapewa migao stahiki which is good. Wakiweka vikwazo na Wazungu wa Sauzi vitawaathiri pia.
Zimbabwe walitapeliwa na UK, Lancaster accord walikubaliana kuwa ten years after Zim independence kuwa Uingereza itawalipa fidia wakulima(settlers) ili waachie mashamba lakini muda ulipotimia wakageuka Mugabe akasubiri tena miaka mingine kumi akawakumbusha wakaendelea kuuchuna hapo war veterans wakapandisha hasira kwa Mugabe ikawa hana jinsi akakubaliana nao na mashamba yakachukuliwa kibabe hapo Western Countries zilizokuwa zomeichunia Zim kwenye malalamiko yake ndiyo zikafura na kuweka vikwazo.
Watu wanaamini uwepo wa wazungu mahali basi automatics utaleta maendeleo na huduma muhimu za jamii kwa haraka, pasipo kuangalia hata upande wa pili wa shilingi kwa yeye mtu mweusi hatakuwa kwenye nafasi gani.Tunashukuru mkuu, siku hizi JF imekuwa kijiwe Cha wapiga soga badala ya watu wajenga hoja wenye fikra pana.
Wengi wamejaa na inferiority complex tu, na kusifia wazungu bila kujua hila na fitna zao.
You are okay but not alright.Mjerumani ni muhindi?Mgiriki ni muhindi?Hakuna sehemu walizomiliki ardhi kwa Tanzania?Mbeya?Iringa na Njombe?Arusha,Kilomanjaro na Manyara?Au siasa za udanganyifu zinawapofusha?Au hamtembei?Wazungu Tanzania hawakuwa na Mashamba. Mfumo wa makoloni ya Mjerumani na Muuingereza ulikuwa tofauti. wakati Muuingereza alipora ardhi ya wazawa katika Makoloni yao na kujigeuza kuwa walowezi, jamnbo hilo ni tofauti kwa iliyokuwa koloni la Mjerumani la east Afrika (Tanganyika). Mjerumani hakupora ardhi nyingi ya Tanganyika ndo maana bado hadi leo hii tuna mapori mengi na ndo kwanza tunawatafuta wawekezaji.
Kwa hiyo na Tanzania tuwarudishie wazungu mashamba ili turudi kwenye uchumi wa kati chini?
Waliporwa? Waliyapataje? Kwanini watanzania hawana mashamba pale Uingereza? Ulitaka ukoloni ubaki? Unaweza kutupa ushahidi wa jinsi walivyopata hayo mashamba kihalali? Ulitusaidia nini? Hivi hua mnashirikisha ubongo kabla ya kuandika?