Hatimaye Uchumi wa Zimbabwe Waanza Kukua tena Baada ya Wazungu Kurejeshewa Mashamba Waliyoporwa na Uwekezaji wa Migodi

Pale Tanga tulimnyang'anya Mo Dewji mashamba.Huo ni mfano tu.
Dewji kumbe ni mzungu? Jf imejaa wajinga wajinga sometimes hata kusoma comments zao ni kuharibu bongo...

Tambua Mhindi Mo alipewa nafasi ya kuendeleza mashamba ya mkonge ya serikali kipindi cha mkapa alipokuwa kugawana zawadi kwa matatjili wawekezaji wetu ni bange tupu.. walichakifanya tumeona upuuzi tizama mfano aliyeanzisha ni Chavda raia walitoa machozi..

Nachojua kuna mzungu Usa River walimsumbua sana.. alimiliki hekta nyingi lakini haikuwa hivyo
 
Sasa Mo ni Mzungu?
Mo alikuwa hayaendelezi mashamba pia alikuwa anataka kutumia hayo mashamba kama collateral kuchukulia mkopo ADB ndipo JPM akamshtukia....
Mo ni mtoto wa mjini yule,porojo nyingi vitendo hakuna....
Anajifanya kampuni yake inaajiri watanzania wengi kuliko kampuni yeyote....nenda kamuulize HR mwenye Bachelor analipwa shing ngapi,utatoa machozi....Kuna rafiki wa rafiki yangu miaka ya 2015 alikuwa analipwa basic 350,000/= kama siyo uonevu huo ni nn
 
Chanzo Cha Zimbabwe kuporomoka kiuchumi sio ardhi waliyonyang'anywa Walowezi wa Kizungu bali ni vikwazo vyà kiuchumi.

Hii ni jamii forum ila watu wanajadili hoja kwa mpapaso wa manati badala ya kugusa mpini.

Vikwazo vyà kiuchumi imekuwa siraha kwa mataifa ya magharibi pale maslahi yao yanapoguswa ndio maana mataifa yanataka kujitenga dhidi ya Dola na mfumo mzima wa magharibi.
 
Hakuna Mashamba waliyoporwa Wazungu hapa Tanzania.

Sema tuwape wawekeze kwenye large scale farming
NHC na Msajili wa Majumba zirudishwe kwa mabwanyenye na Bora irudishwe kwa Bata plus akina Smith Mackenzie warudishiwe makampuni yao. Kila aliyeporwa hata taasisi za kidini wote warudishiwe vyao.
This can never happen in Bongonyoso(Danganyika).
 
Chanzo Cha Zimbabwe kuporomoka kiuchumi sio ardhi waliyonyang'anywa Walowezi wa Kizungu bali ni vikwazo vyà kiuchumi.

Hii ni jamii forum ila watu wanajadili hoja kwa mpapaso wa manati badala ya kugusa mpini.

Vikwazo vyà kiuchumi imekuwa siraha kwa mataifa ya magharibi pale maslahi yao yanapoguswa ndio maana mataifa yanataka kujitenga dhidi ya Dola na mfumo mzima wa magharibi.
At least you know the truth, wapumbavu wengi hawaelewi kilichoporomosha uchumi wa Zimbabwe.
Zimbabwe ilifinywa hasa, Wazungu linapokuja suala la kuteteana huwa wanaunga na kuweka mbali tofauti zao. Kwa anayejua au aliyekuwa na uelewa wakati Zim inawekewa economic sanctions Wazungu walikuwa wanaua ndege wawili kwa jiwe moja, kuungusha uchumi wa Zimbabwe lakini kikubwa zaidi ilikuwa ni mkwara kwa SA kwamba if they do the Zim shit they'll face the same ordeal. Point yao, genuine point so to say ni kwamba wakati wa kupigania uhuru walikuwa wakipigania land na si kubadilisha tu rangi ya bendera na kubadili rangi ya rais wa nchi.
Sauzi wajipange kwa vikwazo vikali kutoka nchi za magharibi na lawama zitawaangukia watakaokabidhiwa mashamba lakini wamestuka hawatawanyang'anya kijumla bali watayamega na kuwaachia sehemu na blacks(obviously priorities zitaangukia kwa freedom fighters kabla ya wengine) watapewa migao stahiki which is good. Wakiweka vikwazo na Wazungu wa Sauzi vitawaathiri pia.
Zimbabwe walitapeliwa na UK, Lancaster accord walikubaliana kuwa ten years after Zim independence kuwa Uingereza itawalipa fidia wakulima(settlers) ili waachie mashamba lakini muda ulipotimia wakageuka Mugabe akasubiri tena miaka mingine kumi akawakumbusha wakaendelea kuuchuna hapo war veterans wakapandisha hasira kwa Mugabe ikawa hana jinsi akakubaliana nao na mashamba yakachukuliwa kibabe hapo Western Countries zilizokuwa zomeichunia Zim kwenye malalamiko yake ndiyo zikafura na kuweka vikwazo.
 
Sasa Mo ni Mzungu?
Mo alikuwa hayaendelezi mashamba pia alikuwa anataka kutumia hayo mashamba kama collateral kuchukulia mkopo ADB ndipo JPM akamshtukia....
Mo ni mtoto wa mjini yule,porojo nyingi vitendo hakuna....
Anajifanya kampuni yake inaajiri watanzania wengi kuliko kampuni yeyote....nenda kamuulize HR mwenye Bachelor analipwa shing ngapi,utatoa machozi....Kuna rafiki wa rafiki yangu miaka ya 2015 alikuwa analipwa basic 350,000/= kama siyo uonevu huo ni nn
Usigangamale na neno "mzungu".Weka neno muwekezaji.Halafu kuhusu utajiri wake Mo,Forbes wanakueleza ni tajiri ila wewe mnyamwezi "tajiri" wa Ntalikwa unakataa na unataka tukuamini kwa sababu hajatoa bilioni 20 pale Simba SC.Ajabu kabisa.
 
Dewji kumbe ni mzungu? Jf imejaa wajinga wajinga sometimes hata kusoma comments zao ni kuharibu bongo...

Tambua Mhindi Mo alipewa nafasi ya kuendeleza mashamba ya mkonge ya serikali kipindi cha mkapa alipokuwa kugawana zawadi kwa matatjili wawekezaji wetu ni bange tupu.. walichakifanya tumeona upuuzi tizama mfano aliyeanzisha ni Chavda raia walitoa machozi..

Nachojua kuna mzungu Usa River walimsumbua sana.. alimiliki hekta nyingi lakini haikuwa hivyo
Acha chuki na kisirani cha kibwege.Huyo ni muwekezaji.Neno mzungu sijui wazungu limekukaa kichwani kama zuzu.
 
Kwa hiyo na Tanzania tuwarudishie wazungu mashamba ili turudi kwenye uchumi wa kati chini?
Wazungu Tanzania hawakuwa na Mashamba. Mfumo wa makoloni ya Mjerumani na Muuingereza ulikuwa tofauti. wakati Muuingereza alipora ardhi ya wazawa katika Makoloni yao na kujigeuza kuwa walowezi, jamnbo hilo ni tofauti kwa iliyokuwa koloni la Mjerumani la east Afrika (Tanganyika). Mjerumani hakupora ardhi nyingi ya Tanganyika ndo maana bado hadi leo hii tuna mapori mengi na ndo kwanza tunawatafuta wawekezaji.
 
Waliporwa mwaka 1967 wakati wa Azimio la Arusha. Waliporwa mashamba, waliporwa migodi, waliporwa viwanda hadi majengo.

Wakati huo uchumi wa Tanganyika ulikuwa sawa na ule wa Thailand, Malaysia, na Singapore. Leo hayo mataifa yamepaa kiasi cha kutoweza kuyalinganisha kwa chochote na Tanganyika.
Hao uliowataja wana akili wakati watanzania tyuna akili ya mdundiko.
 
At least you know the truth, wapumbavu wengi hawaelewi kilichoporomosha uchumi wa Zimbabwe.
Zimbabwe ilifinywa hasa, Wazungu linapokuja suala la kuteteana huwa wanaunga na kuweka mbali tofauti zao. Kwa anayejua au aliyekuwa na uelewa wakati Zim inawekewa economic sanctions Wazungu walikuwa wanaua ndege wawili kwa jiwe moja, kuungusha uchumi wa Zimbabwe lakini kikubwa zaidi ilikuwa ni mkwara kwa SA kwamba if they do the Zim shit they'll face the same ordeal. Point yao, genuine point so to say ni kwamba wakati wa kupigania uhuru walikuwa wakipigania land na si kubadilisha tu rangi ya bendera na kubadili rangi ya rais wa nchi.
Sauzi wajipange kwa vikwazo vikali kutoka nchi za magharibi na lawama zitawaangukia watakaokabidhiwa mashamba lakini wamestuka hawatawanyang'anya kijumla bali watayamega na kuwaachia sehemu na blacks(obviously priorities zitaangukia kwa freedom fighters kabla ya wengine) watapewa migao stahiki which is good. Wakiweka vikwazo na Wazungu wa Sauzi vitawaathiri pia.
Zimbabwe walitapeliwa na UK, Lancaster accord walikubaliana kuwa ten years after Zim independence kuwa Uingereza itawalipa fidia wakulima(settlers) ili waachie mashamba lakini muda ulipotimia wakageuka Mugabe akasubiri tena miaka mingine kumi akawakumbusha wakaendelea kuuchuna hapo war veterans wakapandisha hasira kwa Mugabe ikawa hana jinsi akakubaliana nao na mashamba yakachukuliwa kibabe hapo Western Countries zilizokuwa zomeichunia Zim kwenye malalamiko yake ndiyo zikafura na kuweka vikwazo.
Tunashukuru mkuu, siku hizi JF imekuwa kijiwe Cha wapiga soga badala ya watu wajenga hoja wenye fikra pana.

Wengi wamejaa na inferiority complex tu, na kusifia wazungu bila kujua hila na fitna zao.
 
Watu wanaamini uwepo wa wazungu mahali basi automatics utaleta maendeleo na huduma muhimu za jamii kwa haraka, pasipo kuangalia hata upande wa pili wa shilingi kwa yeye mtu mweusi hatakuwa kwenye nafasi gani.

Anafikiri labda wazungu wakishika nyanza muhimu za kiuchumi kama aridhi basi na yeye atanufaika sawa na wao, hujui kwanza ni obvious yeye atakuwa ni second class citizen na atakuwa treated like trash.
 
Wazungu Tanzania hawakuwa na Mashamba. Mfumo wa makoloni ya Mjerumani na Muuingereza ulikuwa tofauti. wakati Muuingereza alipora ardhi ya wazawa katika Makoloni yao na kujigeuza kuwa walowezi, jamnbo hilo ni tofauti kwa iliyokuwa koloni la Mjerumani la east Afrika (Tanganyika). Mjerumani hakupora ardhi nyingi ya Tanganyika ndo maana bado hadi leo hii tuna mapori mengi na ndo kwanza tunawatafuta wawekezaji.
You are okay but not alright.Mjerumani ni muhindi?Mgiriki ni muhindi?Hakuna sehemu walizomiliki ardhi kwa Tanzania?Mbeya?Iringa na Njombe?Arusha,Kilomanjaro na Manyara?Au siasa za udanganyifu zinawapofusha?Au hamtembei?
 
Waliporwa? Waliyapataje? Kwanini watanzania hawana mashamba pale Uingereza? Ulitaka ukoloni ubaki? Unaweza kutupa ushahidi wa jinsi walivyopata hayo mashamba kihalali? Ulitusaidia nini? Hivi hua mnashirikisha ubongo kabla ya kuandika?

na wewe unaweza kutoa ushahidi kuwa hawakuwa wakimiliki kihalali?
 
Back
Top Bottom