Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazungu hawakuwahi kutwaa mashamba Tanzania! Tanzania was not a settler colon! Shule Huwa mnaenda kufanyaje?
Wakati ninyi mkiwa mbenanishwa kwenye ujamaa na hamkuuruhusiwa hata kidogo kumiliki Mali na biashara.Nyerere alifanya kosa kubwa kuwapora wazungu, wahindi na waarabu mashamba, majengo na biashara zao kwa ujumla. tungekuwa mbali sana. man akipindi hicho tulikuwa mbali kuliko nchi nyingi sana ambazo leo zimetuacha mbali.
Mashmba ya mkonge, kahawa chai na mashamba ya ngano. Achilia mbali majumba yaliyochukuliwa na msajili wa nyumba, usisahau mabenki. Haya yalifanyika wakati wa Azimiola Arusha. Hapo ndipo tulipodondoka kiuchumi kama Zimbabwe.Hakuna Mashamba waliyoporwa Wazungu hapa Tanzania.
Sema tuwape wawekeze kwenye large scale farming
Pia kumbuka Mgabe alivyowatesa wapinzani na kuwaua wapinzani baada ya kuendesha uchaguzi wakati alikuwa akubaliki tena. Pia alichukua mashamba na kuwapa rafiki zake waliojulikana kama "war veteran" ambao waliyaacha bila kuyaendeleza na nchi kuanza ku import chakula na kuna wakati Tanzania iliwasaidia mahindi ya msaada.Chanzo Cha Zimbabwe kuporomoka kiuchumi sio ardhi waliyonyang'anywa Walowezi wa Kizungu bali ni vikwazo vyà kiuchumi.
Hii ni jamii forum ila watu wanajadili hoja kwa mpapaso wa manati badala ya kugusa mpini.
Vikwazo vyà kiuchumi imekuwa siraha kwa mataifa ya magharibi pale maslahi yao yanapoguswa ndio maana mataifa yanataka kujitenga dhidi ya Dola na mfumo mzima wa magharibi.
My Take
Hili liwe funzo Kwa Afrika Kusini maana mtu mweusi hakuna kitu anakiweza zaidi ya uharibifu Afrika Kusini: Serikali Kunyakua Ardhi Kwa Nguvu kutoka Kwa Wazungu Bila Fidia
View: https://youtu.be/F9GD9DgC-mM?feature=shared
Soma zaidi hapa Siasa za Kukurupuka: Hatimaye Zimbabwe Yaanza Kuwafidia Mabilioni Wakulima wa Kizungu Walioporwa Mashamba Yao na Mugabe
View: https://x.com/TimesTanzania/status/1888231089556115645?t=0lnZFk5c3L_4_7ltLRGi4A&s=19