Hatimaye Uingereza imemaliza kutoa raia wake Tanzania leo

Wameumia kuona wajukuu zao Wakenya wakifungiwa mipaka.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
UK repatriates 200 British nationals from Tanzania

Two hundred British nationals were on Wednesday, May 20, 2020 repatriated from Tanzania amid Covid-19 pandemic.

Dar es Salaam. Two hundred British nationals were on Wednesday, May 20, 2020 repatriated from Tanzania amid Covid-19 pandemic.

“We are wheels up! Safari njema [nice trip] to the passengers flying to London on the UK Government special charter flight from Tanzania to London. Thank you to the authorities and the @UKinTanzaniateam for helping people return home to their loved ones,” the British High Commissioner to Tanzania, Ms Sarah Cooke wrote on her Twitter page.

On May 17, Ms Cooke said there were still some seats available for British Nationals and their dependents on the UK Special Charter Flight to London on 20 May, noting that booking would close at 1400 on Tuesday.

The repatriation follows an advice by the UK’s Foreign & Commonwealth Office (FCO), asking the country’s nationals to return home, from various countries, in response to Covid-19.
 
Aya bhana mie sitii neno!!!!!
 
jiwekee dole bas unuse upate raha
 
Sasa huko na huko wapi kuna nafuu?
 
That
is not a big deal, most countries repatriated their residence during this pandemic. So punguza ujinga na ushabiki wa kishamba.ndiyo maana hata watanzania waliokuwa India wamerejeshwa nyumbani.
 
Dah sasa hawa kama wameondoka hao watalii wankujaje? maan nilidhani hawa ndio wangetoa hali halisi ya covid na kuwaconvince watalii waje. mburaaaa
Hivi unajua wengi walishapanga likizo zao au mipango yao kurudi UK kwa sababu zao mbali mbali , lakini walishindwa kutokana na kusimama kwa flights , hivyo kuwa wanategemea safari kama hizi za special chartered flight ??? kama ilivyokuwa kwa Tz ambao walimaliza matibabu/masomo na mengineyo huko India??? Lakini walishindwa kurudi kutokana kwa safari za kawaida kufungwa.
Lakini kutoka na wengi wenu kuwa manunda hamuoni hilo, kama vile unajua sababu zao za kuondoka na kama vile waingereza Wote wameondoka Bongo.
 
Dunia yote inajua kuwa Uingereza kuna wagonjwa wengi wa COVID 19 kuliko Tanzania mara nyingi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…