simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya ni masuala ya kimaslahi tu na ndivyo dunia inavyoendeshwa.Serikali imeamua tayari hakuna namna tena,pressure ya kuachana na Huawei imetoka nje na ndani ya UK. Uingereza serikali ni Bunge na the moment wenye hoja wakiwa na majority bungeni huwa haina ujanja.
Kuna kitu kingine ambachi kinafanya compaign dhidi ya Huawei kuwa effective, kuna ushirikiano wa kijasusi na kiuchumi kwa mataifa ya magharibi. The five eyes ni alliance kati ya USA, UK, Australia, Canada na New Zealand kwenye Mambo ya ujasusi. USA ilitahadharisha nchi ambayo itakua inaendela kutumia kits za 5G toka Huawei itakua excluded kwenye intelligence sharing by mid of next decade.
So muingereza hana ujanja wa kutembea peke yake wakati washirika wake wamechukua njia nyingine. Alliances za wazungu zimetoka mbali toka first world war, WW2,cold war mpaka leo. So hata mfaransa,mjerumani atakaa kwenye mstari tu. China haina alliance na nchi yoyote kubwa hata ndugu zao wa rangi 1 huko Asia wanaitazama kwa jicho la mashaka.
Uchumi huu wa kisasa bila alliances hata kama nchi ina nguvu kubwa za kiuchumi kulinda maslahi yake effectively inakua ngumu. Huawei inahitaji masoko ya nchi za magharibi, Asia kwenye nchi zenye uchumi mkubwa ili iendelee kuwa kinara. Huko kote imepigwa kufuli ,soko la africa huku ni dogo sana.
Hili nalo linafikirisha!Habari hii imekuwa ikitolewa na media zote kubwa duniani: BBC, sky news, Reuters, RT, AFP, etc.
Halafu mtu ukipuuza CNN na Reuters, ni media zipi za maana kwako kimataifa?
Sio nzuri sana katika area ipi? Economic?Hili linadhihirisha kwamba Marekani ameshikwa pabaya sana na Uchina. Muingereza ajipange tu maana ameamua kuingilia hii vita wakati hali yake siyo nzuri sana!
Hujui unacho ongea tecno china haitambuliki, ongelea Real me, Oppo, Huawei, One plus, Mi, Vivo, na zingene ziko moto sana.Wachina wamebebwa na teknologia ya 'mabeberu' mfano mdogo tu hadi leo hii wanategemea android os kwa vijisimu vyao -tecno .
Hizo kauli hata Mayatollah na Yule Roctet Man walitolewa Ila mwisho wa siku yule Mbwa na kauli yake karudi kwenye Banda lake la kulala. [emoji851]Mwanaume kwanza anakwambia, We have got all options on the table..... yaani wachina wangetakiwa watafakari sana hio kauli kwa mapana
Uingereza ana hali mbaya kijeshi na kiuchumi, kushindana na taifa kama Uchina itamletea shida.Sio nzuri sana katika area ipi? Economic?
Wale ni ayatolla na hawa hawavai vipedo wanavaa sutiHizo kauli hata Mayatollah na Yule Roctet Man walitolewa Ila mwisho wa siku yule Mbwa na kauli yake karudi kwenye Banda lake la kulala. [emoji851]
Hao wavaa Suti si ndio hao hao wakina Rocket Man ( Mapanki) [emoji848]...?Wale ni ayatolla na hawa hawavai vipedo wanavaa suti
Kwanini leo hii Germany analia Trump kupunguza Wanajeshi wa Marekani kwao?Kwenye masuala mazima yakiuchumi linaangaliwa maslahi yataifa husika kwanza kabla yajambo jengine
Nahisi ushawahi kuupitia vyema kabisa mradi mkubwa kabisa wa NORD STREAM 2 wa RUSSIA na GERMAN ?!
unahisi kati ya RUSSIA na GERMA na GERMAN na US wapi wapo vyema kisiasa (USHIRIKIANO) ila GERMAN alipitisha ama anapitisha Bomba lagesi kutokea MOSCOW to BERLIN
wakati huo huo US alimuoffer German kumpatia GESI ila kikubwa alichokiangalia GERMAN ni maslahi yataifa lake kwanza nahakujali kelele za US
Bukyanagandi kuna sehemu huko juu alikwambia kama US hawez kudanganya watu kila siku kuna wakati GERMAN alikua hawez kupingana na kauli za US ila kwasasa anapingana nao tu kuhusiana na NATO kuhusiana na Gesi yaani GERMAN anampinga tu basi uelewe hili vugu vugu lakuipinga US lipo ulaya nzika ijapokua wanaolionesha kama GERMAN bado hawajawa wengi
Kuna kipindi MACRON alisema kama NATO imekufa Ubongo
Watu wanaangalia maslahi kwanza MKUU mengine baadae nakuhusiana nasuala hili GERMAN kalithibitisha kupitia Mega Project ya NORD STREAM.
Allies power zote sikuhizi haziweki wazi mambo yao ya kijeshi (Military issues), kama Uingereza na Ufaransa na wana backup ya USA na Israel, Lakini pia German, Italy na zingineUingereza ana hali mbaya kijeshi na kiuchumi, kushindana na taifa kama Uchina itamletea shida.
Au wewe unasemaje mkuu, unahisi Uingereza anaweza pambana na Uchina ???
Unadhani Uingereza anaweza akapambana kijeshi na kiuchumi na taifa kama Uchina ?Allies power zote sikuhizi haziweki wazi mambo yao ya kijeshi (Military issues), kama Uingereza na Ufaransa na wana backup ya USA na Israel, Lakini pia German, Italy na zingine
Ulaya wanajua vizuri athari za vita kiichumi, kibiashara, na kijamii. Kukaa kimya sio kwamba ni wajinga.
Technology nyingi kubwa USA kaiba Germany na UK.Ni Wamarekani wangapi waliokamatwa wakiiba technology ya Taifa jingine? Ni Taifa lipi hilo ambalo waliibiwa na wamarekani!?