Here we go again - Source CNN!! Unategemea nini kutoka kwa majangili hawa, walio kubuhu kwenye medani za misinformation na disinfornation, yaani huna habari kwamba wanalipwa fedha nyingi na US Intel agencies kuikandia Huawei stori zote CNN na Reuters wanazo tuletea hapa ni za kutunga tu - wapo wataalamu wa kutunga story za kubuni tu, CNN anakuja na ngonjera eti “Ericsson na Nokia wamesema wana uwezo mkubwa wa kuziba pengo litakalo tokana na kuondoka kwa Huawei kwenye ushindami wa 5G technology” who can take these skewed statements seriously, after all linapokuja suala la 5G technology Huawei is light years ahead ya washindani wao, wataalamu wote Duniani wa masuala ya mawasiliano kwa njia ya ki eletroniki wanajua ukweli huo, kwamba Huawei ndio inaongoza katika fani hii muhimu, Amerika inacho fanya ni kupandikiza fitina pamoja na wivu wa kijinga wakati wao wameshindwa ku-roll out a truly 5G beast to emulate Huawei success story, wapo wapo tu na roho zao za kutu.
Hivi CNN wana ushahidi gani wa kuonyesha kwamba kuna kikao chochote kilicho kuwa convened kuzungumzia suala la Huawei kupigwa marufuku kuuza mitambo yake ya mawasiliano in Continental Europe na Uingereza? I am a share holder wa British Telecoms 90 percent za mitambo ya mawasiliano ya BT ili nunuliwa kutoka kampuni ya Huawei wapo mbioni kui upgrade to 5G, share holders tunapewa taarifa kwa kila kitu kinacho endelea kwenye kampuni ya BT - binafsi sijapokea taarifa yoyote ya maandishi inayo sema kwamba Serikali ya Uingereza umemlazisha CEO kusitisha ushirikiano na kampuni ya Huawei, hakuna kitu kama hicho ndio maana nasema taarifa zinazo sambazwa na CNN ni za kutunga tu zenye lengo la kuonyesha Huawei ni hatari kwa usalama wa kila nchi itakayo kubali kutumia mitambo yao - ulaghai mtupu.
Kama nilivyo sema tangu mwanzo bifu za US Administration na kampuni ya ya Huawei inatokana na USA kukosa means na capacity ya kushindana na Huawei wanatamani sana ife!!
Kwa bahati nzuri Dunia imekwisha baini kinacho endelea nyuma ya pazia - Uncle SAM will never succeed to muzzle Huawei, welevu na wapenda maendeleo ya teknolojia mpya ya mawasiliano will always stick by Huawei 5G technology fitina za Trump na Pompeo notwithstanding.