Hatimaye Uingereza yaipiga marufuku Huawei kuweka mitambo ya 5G nchini humo

all options on the table ndio kauli yamwisho kabisa ambayo US hua wanaitoa kuficha kutapa tapa kwao.....

Vikwazo vya US dhidi ya UCHINA mpaka sasa vimepeleka Athari hasi gani kwa UCHUMI wa UCHINA na Athari chanya gani kwa UCHUMI wa US !?

Sent using My COVID-19
Kwamba wewe hauoni? The bulk of trade ambao US na China waliokua wanafanya btn nani aliekua anauza zaidi na nani alikua mnufaikaj zaidi? Baada ya tarrif ulishafanya research nakujua export ya bidhaa zile ime decline kwa % ngapi? Haya mambo ya Huwaei mbona hata vikwazo vyenyewe tu havijaanza bado
 
Kwamba wewe hauoni? The bulk of trade ambao us na china waliokua wanafanya btn nan aliekua anauza zaid na nan alikua mnufaikaj zaid? Baada ya tarrif ulishafanya reserch nakujua export ya bidhaa zile ime decline kwa % ngap? Haya mambo ya Huwaei mbona hata vikwazo vyenyewe tu havijaanza bado
Ndio maana nika kuuliza unahisi kuhusiana na tarrif wao US hawakua wanalipia ?!

Unahisi US na UCHINA hawategemeani katika biashara ?!

Kuhusiana na Suala la HUAWEI wanawatikisa ila kuiangusha HUAWEI wasahau hawatakaa wafanikiwe

Kwenye mauzo HUAWEI mwanzo walikua wangapi nasasa wako wangapi kwa takwimu rasmi ?!
 
Hivi aliekua ananeema na 25% na 85% biashara ikafa ni nani atakua na majonzi zaidi? Kama China wana export more than 500Bn a year and US 173BN a year hii biashara ilivyoingia mushkel nani hapa anaumia zaidi?. Huawei kwa sasa kubali kwamba kabaki jina tu Europe ndio anaaga kwa sasa mpaka kufikia Sept atabaki Asia peke yake
 
Hiiv aliekua ananeema na 25% na 85% biashara ikafa ni nan atakua na majonz zaidi? Kama china wana export more than 500Bn a year and US 173BN a year hii biashara ilivyoingia mushkel nan hapa anaumia zaid?. Huwaei kwa sasa kubali kwamba kabak jina tu Europe ndio anaaga kwa sasa mpaka kufikia sept atabak Asia peke yake
Hahaha unajua kama HUAWEI akibakia ASIA pekee atakua anasoko kubwa kuliko soko lote la ULAYA ama hujajiuliza hili ?!

Ishu hapa nibiashara na biashara niwatu na UCHUMI kiasi kwamba ASIA wanawatu wengi sana kulinganisha na ULAYA napia KIUCHUMI sio wazuri sana kama ULAYA ila wanauwezo kwasuala la simu haliwashindi

Kuhusiana na Biashara unakumbuka wakulima wa US walipolalama kwa DT kuhusiana na tarrif waloekewa UCHINA nabidhaa za wakulima mpaka wakasema kama hawatamchagua DT katika uchaguzi wamwaka huu ama hukulisikia hili saga ?!

UCHINA inafanya biashara kama mataifa Mengine nainatamani sana soko la Nje ila pia UCHINA wanafaida yasoko landani population yao jamaa inawabeba sana nandio inawapa wamagharibi UGUMU wakukabiliana nao

Nandio maana unaweza ona hata mitandao yakijamii tu inayotumiwa UCHINA inakua maarufu DUNIANI naukija ukichunguz kwa asiimia 80-90% inatumika kwawingi ndani ya UCHINA kwenyewe

UCHINA population yao tu ya raia Bilioon naaa inawabeba nirahisi sana UCHINA akayumba akisusiwa na INDIA kuliko kama Atasusiwa na sehemu kubwa ya ULAYA sababu ya Uwingi wa WAHINDI.

US na WAMAGHARIBI walipoiamulia kuiekea RUSSIA vikwazo kwakiasi fulani waliiweza haraka sana kwasababu hata yapopulation ilichangia

Kwatoka ilivyoanza kuandamwa UCHINA na US walitakiwa sasa hv wawe wana hangaika kiuchumi ila ushalisikia hili kutoka UCHINA!?

juzi walitangaza UCHUMI wao ku slow down ila sababu kubwa ikawa CORONA ambayo nisuala lakidunia

UCHINA walishachelewa KUIDHIBITI
 
Kwenye soko HUAWEI inasimamaje nahii ndio main point yangu achana na black berry
Isimamaje vipi tena mzeee? Ndio inakufaa hivyoo kama blackberry ilivyokufaa... Leo mwaka 2020 simu yao ya mwisho kuwa na android version ni P30 nadhani sasa hayo matoleo mapya system yao itawezaje kuendana na soko la dunia current? Labda wavumbue system mpya ya kuoperate better than IOs na Android kitu ambacho ni Impossible aiseee. So wanaweza kufa kifo kama cha microsoft simu zao au blackberry
 
Isimamaje vip tena mzeee???? Ndo inakufaa hivyoo kama blackberry ilivyokufaa... Leo mwaka 2020 simu yao ya mwisho kuwa na android version ni P30 nadhani sasa hayo matoleo mapya system yao itawezaje kuendana na soko la dunia current..!?? Labda wavumbue system mpya ya kuoperate better than IOs na Android kitu ambacho ni Impossible aiseee... So wanaweza kufa kifo kama cha microsoft simu zao au blackberr.
Dah MKUU unawezaje kusema impossible

Wakat wewe unaamini DUNIA bila jf fb wasap Ig namfano wahayo haiwezekani kani kuna watu pale UCHINA wanaona bila weibo namengineyo huwez kua unamiliki simu ama huna maana yakua na simu

System mpya inawezekana ila lazma izoee changamoto kwanza sababu sio rahisi

Nakuhakikishia kama window waliweza kuiteka dunia zama fulani hata UCHINA wakija na system mpya wataikamata na wataiteka nisuala lamuda tu maana system yaku operate wanayo ila haijawa official tu
 
sema US wachekeshaji wengi sasa unafungia Huawei na matawi yake lakini Oppo vivo unaziacha hii inakuwaje, Kama mbabe kweli fungia vya uchina vyote yaani usiwauzie chochote kinachohusiana na teknolojia

Kipindi hiki Rais wa Marekani analalamika Kama mwenyekiti wa upinzani huku keko machungwa vituko Sana

Yaani huko Twitter, kila siku Rais wa Marekani analalama tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu pitia hichi kitabu "Stealth War: How China Took Over While America's Elite Slept" by Gen. Robert Spalding. Humu ndani kuna madini mengi sana yanayoonyesha mbinu za Wachina za ujasusi wa kiuchumi
Nashukuru sana mkuu, nitakitafuta.
 
sema US wachekeshaji wengi sasa unafungia Huawei na matawi yake lakini Oppo vivo unaziacha hii inakuwaje, Kama mbabe kweli fungia vya uchina vyote yaani usiwauzie chochote kinachohusiana na teknolojia

Kipindi hiki Raisi wa marekani analalamika Kama mwenyekiti wa upinzani huku keko machungwa vituko Sana

Yaani huko Twitter, kila siku Raisi wa marekani analalama tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
US wanaongozwa narahisi wahovyo sana safari hii

Natamani sana ashindwe tena
 
Kutumia raia wake walioajiriwa na makampuni ya US pia wanafunzi wa Kichina US katika field hii ya technology kuiba utaalamu na kuupeleka kwao.
Kuchukua utaalamu na kuupeleka sehemu nyingine, hakuhesabiwi kuwa ni wizi Chief

Hususan kwa Mwanafunzi au Mfanyakazi
 
Ilianzia Germany,,marekani walienda kuiba wanasayansi wa hitler,,operation paperclip
Kila teknolojia kubwa ambayo ilitumika kwenye Vita Baridi iliibwa Ujerumani:
1. Teknolojia ya roketi (Rocket Science)
2. Ndege zisizoonekana na radar (Stealth Technology)
3. Uhandisi wa vinasaba (Genetic Engineering)
4. Nyambizi bora kabisa za vita (Type XXI)- USSR aliiba akatengeneza Whiskey-Class submarine
 
Nchi ya Uingereza imepiga marufuku kampuni ya Huawei kuweka mitambo ya 5G nchini humo.

Mwezi January Uingereza iliipa Huawei tenda ya kuweka mitambo ya kawaida au non core ya 5G.

Mwezi wa 5 Marekani iliiwekea vikwazo vipya kampuni ya Huawei vitakavyoiondolea kampuni hiyo uwezo wa kupata au kuzalisha mitambo ya teknolojia ya 5G.

Uingereza imesema vikwazo vipya vya Marekani vitaiathiri kwa kiwango kikubwa Huawei isiweze kua na uwezo wa kutoa huduma.
=======

The United Kingdom has banned Huawei from its 5G telecom network, reversing a January decision to allow the embattled Chinese tech company a limited role in building the country's super-fast wireless infrastructure.

Operators such as BT (BTGOF) and Vodafone (VOD) have been given until 2027 to remove existing Huawei equipment from their 5G networks, the UK government announced on Tuesday. Digital and Culture Minister Oliver Dowden said new US sanctions imposed on the company in May had "significantly changed" the landscape.

"Given the uncertainty this creates around Huawei's supply chain, the UK can no longer be confident it will be able to guarantee the security of future Huawei 5G equipment," Dowden said.

The decision is a big win for the Trump administration, which has been pushing allies to exclude Huawei from their 5G networks, arguing that the Chinese company is a threat to national security. US Secretary of State Mike Pompeo declared last month that "the tide is turning against Huawei as citizens around the world are waking up to the danger of the Chinese Communist Party's surveillance state."

But it risks a backlash from China as Britain looks for new trading opportunities around the world after Brexit, and will delay the rollout of 5G across the country by at least a year, Dowden said.

The US campaign against Huawei was having mixed success until the new sanctions in May further reduced the company's ability to manufacture and obtain semiconductor chips using American-made technology.

That triggered another UK security review of the company's involvement in the British network, leading to Tuesday's decision by the National Security Council to order the phased removal of its technology.

The decision is a huge blow for Huawei, which has operated in Britain for 20 years. Europe is a key market for the company, accounting for 24% of sales last year. Huawei on Monday announced half year results earlier than usual, reporting slower revenue growth. The company is already experiencing a decline in smartphone sales, after Washington blocked it from accessing popular Google apps. The phones became a lot less attractive in markets outside of China as a result.

Huawei said it was confident that the recent US sanctions would not have affected "the resilience or security" of its products and described the UK announcement as disappointing.

"It threatens to move Britain into the digital slow lane, push up bills and deepen the digital divide," said Ed Brewster, a spokesperson for Huawei UK. "Regrettably our future in the UK has become politicized, this is about US trade policy and not security."

The US sanctions restrict companies like TSMC (TSM), a Taiwan-based firm, from exporting computer chipsets and other key components to Huawei. Without them, Huawei can't build 5G base stations and other equipment.
"Based on the current direct export rule that the US put on, I really think that Huawei's 5G equipment business is in grave danger," Jefferies analyst Edison Lee said last month.

UK Prime Minister Boris Johnson had faced mounting pressure from lawmakers within his own party, along with the Trump administration, which argues that the Chinese government could use Huawei for spying and even sabotage.

Washington had warned that US-UK intelligence sharing and military collaboration could be put at risk if Britain went ahead with its plan. Under Chinese law, Chinese companies can be ordered to act under the direction of Beijing. Huawei has consistently denied that it would help the Chinese government to spy, and says it is "100% owned by employees."

Speaking early Tuesday before the UK announcement, China's Foreign Ministry repeated a previous warning by its ambassador that the decision would have consequences for the wider relationship between the two countries.

"Whether the UK can provide an open, fair and non-discriminatory business environment for Chinese companies ... is a litmus test for British markets after Brexit, and it is also an indicator for China's investment in the UK," foreign ministry spokesperson Zhao Lijian said.

Ban will cause delays and cost billions
Huawei had lobbied hard to persuade the UK government it was a trustworthy partner, launching an advertising campaign last month emphasizing its history of investment and job creation in the country. This month, it announced that it had received approval to build a sprawling $1.25 billion research facility in Cambridge.
Huawei is already an integral part of Britain's existing 4G infrastructure, and telecom operators will not be required to swap out the company's equipment in those networks.

The Chinese company's European rivals said they were ready to fill the 5G void left by Huawei.
Nokia (NOK) said in a statement that it has the "capacity and expertise to replace all of the Huawei equipment in the UK's networks at scale and speed." Arun Bansal, Europe and Latin America president for Ericsson (ERIC), said in a statement that the Swedish company "has the technology, experience and supply chain capacity," to help the United Kingdom reach its 5G goals.

Nonetheless, the UK will pay a hefty price for kicking out Huawei. The government said Tuesday that the cumulative delay to 5G networks from the ban on new Huawei equipment and replacing its existing technology would be two or three years, at a total cost of as much as £2.5 billion ($3.1 billion).

That means British consumers and businesses will have to wait longer, and possibly pay more, for the services that the extra bandwidth can support, such as self-driving cars and advanced manufacturing and healthcare applications.

"Obviously we are disappointed because this decision — as the government has highlighted today — will add delay to the roll out of 5G in the UK and will result in additional costs for the industry," a Vodafone spokesperson said.

BT CEO Philip Jansen said his company would be able to make the required changes without a significant impact on its timetable for 5G rollout. The implementation costs would be no higher than the £500 million ($627 million) BT estimated in January it would cost to comply with the previous UK decision to limit Huawei's role.

SOURCE: CNN
Yaani nilikuwa nawaona Waingereza wajanja lakini wameshikiwa akili na Wamarekani😗
 
Funny enough the third world countries are still embracing HUAWEI technology not knowing of the sinister movements of the “Elite Chinese”! All details converge at a “Beijing Communication Center” beneficial excerpts are extracted for contact, tracing and inhibited! - The East African countries should take precaution and abandon this technology.
 
When you face difficult times, know that challenges are not sent to destroy you.They’re sent to promote,increase and strengthen you,kwahiyo Marekani wajipange kwa mjio mwingine wa China mpaka aombe poo...
 
Back
Top Bottom