Hatimaye Uingereza yaipiga marufuku Huawei kuweka mitambo ya 5G nchini humo

Additionally, the scope of 5G technology is very broad. 5G technology aims to fulfil three objectives: enhanced Mobile Broadband (eMBB), Ultra Reliable Low Latency Communications (URLLC), and massive Machine Type Communications (mMTC). This involves more than 10 different types of technologies that are under development, including massive Multiple-Input Multiple-Output (MIMO), New Radio (5G NR), beamforming, millimetre wave, and network slicing etc.

Complicating matters further, not all telecommunication operators intend to deploy all the different technologies. For instance, an operator may prefer to install small, millimetre-wave units in order to achieve high-density, everywhere coverage. At the same time, another operator may be more concerned with beamforming technology instead. The diverse offerings of 5G technology means that it is difficult to envisage one company becoming the world leader in all the technologies it has an interest in. In fact, it may not even be possible for a company to grasp all the 5G technologies.
 
Haya ni masuala ya kimaslahi tu na ndivyo dunia inavyoendeshwa.

Linapokuja suala la maslahi hasa ya pamoja kama ushirika, haya ni mambo ya kawaida kabisa kufanyika.
 
Habari hii imekuwa ikitolewa na media zote kubwa duniani: BBC, sky news, Reuters, RT, AFP, etc.

Halafu mtu ukipuuza CNN na Reuters, ni media zipi za maana kwako kimataifa?
Hili nalo linafikirisha!

Kwamba media kadhaa zimetunga habari moja inayofanana?!

Ama mmoja katunga habari kisha aka-share na wengine?!
 
Nchi za magharibi zina itosa Huawei kwa sababu zinazoelezwa kuwa za usalama na wengi wanajiandaa kuwapa tenda Nokia na Ericson. Lakini wataalam wa mambo(walio neutral) wanasisitiza kwamba kampuni pekee zenye teknolojia ya 5G ni Huawei na Samsung tu(ndo zina patent kubwa pia katika hili) na kwamba kuwanyima tenda Huawei itawafanya wateja wa magharibi kusubiri mpaka miaka mitatu kuanza kutumia 5G kwa kuwa ndo muda Nokia na mwenzake watakuwa wame master hii teknolojia. Sijui ina ukweli gani maana sio mtaalam wa haya mambo lakini ni kama ukweli unaanza kudhihirika baada ya Nokia leo kuanza kufunga mitambo ya 5G katika minara(miundombinu) ya 4G. Wengi katika komenti zinazohusu hii habari wanakataa na kudhihaki kuwa kiteknolojia hili haliwezekani vinginevyo itakuwa ni update ya 4G kwa maana ya 4G+ au vinginevyo lakini huwezi kutumia 5G kwenye posts za 4G na kwamba 5G inahitaji miundombinu mipya kabisa. Sijui ukweli ukoje na ningeomba wataalam wasio fungamana na hizi kambi 2 wanifafanulie.
Natanguliza shukurani.
 
Hili linadhihirisha kwamba Marekani ameshikwa pabaya sana na Uchina. Muingereza ajipange tu maana ameamua kuingilia hii vita wakati hali yake siyo nzuri sana!
Sio nzuri sana katika area ipi? Economic?
 
Wachina wamebebwa na teknologia ya 'mabeberu' mfano mdogo tu hadi leo hii wanategemea android os kwa vijisimu vyao -tecno .
Hujui unacho ongea tecno china haitambuliki, ongelea Real me, Oppo, Huawei, One plus, Mi, Vivo, na zingene ziko moto sana.
 
Mwanaume kwanza anakwambia, We have got all options on the table..... yaani wachina wangetakiwa watafakari sana hio kauli kwa mapana
Hizo kauli hata Mayatollah na Yule Roctet Man walitolewa Ila mwisho wa siku yule Mbwa na kauli yake karudi kwenye Banda lake la kulala. [emoji851]
 
Sio nzuri sana katika area ipi? Economic?
Uingereza ana hali mbaya kijeshi na kiuchumi, kushindana na taifa kama Uchina itamletea shida.
Au wewe unasemaje mkuu, unahisi Uingereza anaweza pambana na Uchina ???
 
Kwanini leo hii Germany analia Trump kupunguza Wanajeshi wa Marekani kwao?
 
Uingereza ana hali mbaya kijeshi na kiuchumi, kushindana na taifa kama Uchina itamletea shida.
Au wewe unasemaje mkuu, unahisi Uingereza anaweza pambana na Uchina ???
Allies power zote sikuhizi haziweki wazi mambo yao ya kijeshi (Military issues), kama Uingereza na Ufaransa na wana backup ya USA na Israel, Lakini pia German, Italy na zingine

Ulaya wanajua vizuri athari za vita kiichumi, kibiashara, na kijamii. Kukaa kimya sio kwamba ni wajinga.
 
Unadhani Uingereza anaweza akapambana kijeshi na kiuchumi na taifa kama Uchina ?
 
Ni Wamarekani wangapi waliokamatwa wakiiba technology ya Taifa jingine? Ni Taifa lipi hilo ambalo waliibiwa na wamarekani!?
Technology nyingi kubwa USA kaiba Germany na UK.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…