Hatimaye Uingereza yanyoosha mikono na kupendekeza kufuata nyayo za hayati Magufuli kuhusu kupambana na Corona

Tanzania tuna wajinga wanaoamini kuwa ukiweza kuandika sentensi ya Kiingereza, basi umeandika jambo la maana.

Yaani mawazo ya mtu mmoja ndiyo yanageuka kuwa mawazo ya Uingereza nzima?

Wewe unaanza kusikia fikra hizo kwa mara ya kwanza? Nchi ngapi zilizoondoa lockdown? Hivi kuna mtu hapa Tanzania amekuwa akitaka lockdown? Tahadhari dhidi ya corona, kwa fikra zako, ni lockdown pekee yake?
 
K
Hilo ni familia ya MATAGA kwahiyo usitegemee kupata jibu la maana kutoka kwa MATAGA wa lumumba
Wa kwenue andukoblaobumeona wanasema watumie chanjo?

Hata wao wamesema in general

Kama wewe unavyoumwa hukonkwenu ukatumia mwarobaini.

Kwa hiyo mambo ya distance mara kujifungia ni uongo tu.

Hata wao siku hizi hakuna distance bali wanavaa vi balakoa na hilo nalo ipo siku wataacha tu
 
Mie, Doto James na Dr Bashiru pia inatosha kutumia Wingi Mkuu
Dotto nasikia amekwisha anza kufunga matunguli yake ili akabidhi ofisi ya serikali kwa wenye sifa maana hana sifa ya kukaa hapo ni baada ya pasaka.
 
Uzuri wa corona inawahitaji watu wanao ibeza kama wewe hivyo nakushauri kama una cha kuacha kwa wanao basi andika kabisa wosia maana wewe ndiyo unayefuatia
 
Yaani watu wana mioyo ya ajabu sana!

Marehemu alikuwa mbishi sana juu ya kuchukua tahadhari dhidi ya corona. Matokeo yake:

Msaidizi wake wa karibu, Kijazi (RIP) akafariki kwa corona, watu mbalimbali maarufu, wakaondoka kwa corona, bado Rais hakuchukua tahadhari yoyote huku akijua tatizo lake la afya alilokuwa akiishi nalo. Mwishowe RAIS MAGUFULI AMEFARIKI KWA CORONA, japo kuna watu wanaangalia matokeo badala ya kisababishi.

Msidanganyike kabisa, Rais wetu amefariki kwa tatizo ambalo chanzo chake kikuu ni covid 19.

Yaani unampongeza marehemu ambaye aliidharau corona, halafu ikaja kumwua?
 
Nilidhani nao wameanza kujifukiza na kusema korona haipo.
 
Itasaidia nini sasa.
Kuheshimu mawazo ya Waafrika ambao huonekana hawana walijualo. Wamemwua Magu kwa sababu ya mawazo na misimamo yake ya kupinga uonevu na ukandamizwaji dhidi ya Waafrika.

Walipinga sana mawazo ya Magu na kulazimisha lockdown na chanjo zao, lakini hazijawasaidia kwa lolote. Mungu anawaongesha kuwa ukomo wao wa kufikiri na kutenda umefika mwisho.

Asante Covid19 kwa kuonyesha kiwango cha ujinga wa wazungu na kiwango cha werevu wa Waafrika.
 
Tutamkumbuka sana Dr.Magufuli kwa ujasiri wake wa kukataa Lockdown na machanjo ya kichoko choko

Tumepoteza hariri ya thaman sana
Ndio maana coronavirus imeliua 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂
 
Magu hajafa kwa covid wala niache kupata mi covid nipo krkoo apate magu
 
Magu hajafa kwa covid wala niache kupata mi covid nipo krkoo apate magu
Mbona Seif kafa kwa korona? Au wewe unaishi maisha mazuri hapo kariakoo kuliko makamo wa kwanza mwenye kin’gora?
Jitoe tu ufahamu
 
Acheni kusifia ujinga ujinga maana inaishia Marehemu anatukanwa tu.
 
Mganga mkuu na mshauri mkuu wa Afya wa Uingereza, Chris Whitty, amesema hakutakuwa na lockdown wataishi na Covid kama mafua.

Amesema watajifunza kuishi na Corona pia vinavyotajwa kuwa virusi vipya vya Corona haviwezi kuzuiwa kwa kuzuia watu kuingia katika nchi.

#JamiiForums.


Basi utasikia huko Kenya muda si mrefu ... [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Binafsi naunga mkono hoja ya uyo jamaa sasa kuna kidada kimange kinakosa usingizi kinataka tuletewe machanjo yanayostopishwa na kila nchi yule dada angekua bongo ningekua wa kwanza kumuwinda

Famililai
Haya mambo 'tujifunze kuishi nayo kama mafua tu' akiyasema mtu mweusi ataonekana punguani. Pengine huyu mzungu ataskizwa.

Anyways, we can't afford lockdown asee.

Kenyans wenyewe huwa wanakumbwa na baa la njaa wakiwa tu na maisha ya kila siku, leo uwafungie ndani, what do you expect?
 
Mbona hawa hawaitaki tena lockdown mzee baba? Ugonjwa umeisha nguvu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…