Hatimaye Uingereza yanyoosha mikono na kupendekeza kufuata nyayo za hayati Magufuli kuhusu kupambana na Corona

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mnatia huruma! na muendelee kugoma ivo ivo kushiriki uchaguzi
Kama aliondoka babako kwako ni suala la muda tu
 
kwan we hujui pia ni swala la mda tu pia kabla hatujakufukia pia? au ulidhan kelele zako ztakufanya uishi parefu
Kama unalijua hilo naamini msingekuwa mnajiona kuwa ni miungu watu
 
Umewekewa link hapo usome mwenyewe huyo aliyesema hayo maneno ni chief of medicine wa uingereza

Tena cha ajabu wala hakuizungumzia chanjo kwa maana anajua kuwa chanjo ya corona ni miradi ya mabeberu kupiga pesa za wajinga
 
Kama unalijua hilo naamini msingekuwa mnajiona kuwa ni miungu watu

kwan we ulikua unaumia nn? ulitaka tukusifie wewe ama? si mbowe yupo mnashindwa nn kumsifia! nyie acheni kelele zisizo na msingi
 
Hao wanaojaribu kwa jitihada zote kupambana na huu ugonjwa bado tunaona wanakufa na tunasikia maambukizi yanazidi maana yake ni kwamba sisi ambao hatuchukui tahadhari kama hao wenzetu(kiasi kwamba wewe unadai kuwa sisi tunakufa kwa mamia) basi hadi sasa tungeshafikia hatua ya hospitali kuzidiwa wagonjwa au hata kuokota miili barabarani kama ambavyo mwanzoni wengine walifikiri hivyo kwa kuangalia kilichotokea huko ulaya na uduni wa huduma zetu za afya.

Tatizo lipo kwenye uhalisia wa hali ya huo ugonjwa wenyewe ni tofauti na vile mnavyotaka tuhamaki. Hizi story za kudai mamia ya watu wanakufa Tz kwa corona zipo toka mwaka jana,sasa jinsi ugonjwa wenyewe ulivyo na unavyoambukiza kwa kasi halafu iwe kwamba mamia ya watu wanakufa toka mwaka jana hivi kweli hali ingekuaje hivi sasa? mara ngapi tunaona mikusanyiko ya watu kama juzi kati kwenye kuaga mwili wa Magufuli ila hatuoni kwamba matukio hayo huongeza wingi wa wagonjwa au vifo huku uraiani.
 
kwan we ulikua unaumia nn? ulitaka tukusifie wewe ama? si mbowe yupo mnashindwa nn kumsifia! nyie acheni kelele zisizo na msingi
Sasa awamu hii lazima mjinyonge tu maana tumejiandaa vya kutosha kuwarudisha koromitje
 
Wanakufa. Kama hutupimi na kuweka kumbukumbu huwezi kujua. Ulaya na USA wanapima na kurekodi data. Isitoshe lifespan ya watu ni kubwa hivyo watu wanaishi maisha marefu kwa hiyo wazee ni wengi sana. Na wazee ndiyo wanafariki sana. Tanzania wazee waliopaswa kufa kwa corona walikufa kwa matatizo mengine na wamebaki kidogo tu.
 
Ukishaona mtu amesema hata akifa kila mtu atakufa ujue tayari mada imemshinda. Leo ndiyo unajua kila mtu atakufa? Sasa kama kila mtu atakufa ndiyo tuwe wazembe? Jinga kabisa wewe.
 
Ukishaona mtu amesema hata akifa kila mtu atakufa ujue tayari mada imemshinda. Leo ndiyo unajua kila mtu atakufa? Sasa kama kila mtu atakufa ndiyo tuwe wazembe? Jinga kabisa wewe.

sasa kama kila mtu atakufa na unajua whats so special na magufuli kutangulia?? kwamba wewe uliebaki ndo utaishi milele ama? ndo mbowe anavowaambia?
 
Hata Idi Amin followers walikuwa wanasema hivyo hasa wale wazaliwa wa koboko

enough of these stories za ufipa, hamna makali, hamna mashiko just stay active with your fake id thats all you need
 
Uingereza wanachanja watu wao.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ