Hatimaye ukweli wabainika, Tunda na Selena Gomez ni mapacha

Hatimaye ukweli wabainika, Tunda na Selena Gomez ni mapacha

Ngoma ikilia sana mwisho wake hupasuka,awe makin huyo tunda wako asije akapasuka kama wenzie wakina jack Patrick,binti kiziwi,masogange etc
 
Kuna kipindi nilijua haka katoto TUNDA ni kahudumu ka hotel[emoji15][emoji15]kumbe ni wakala wa TIGOPESA[emoji28]
 
Laana itakuandama vizazi vyako vyote kwa ufananisho huu, tusi ulilomtukana huyo binti kwa kumfananisha na selena gomez hakika lina laana.
 
Ushabiki tu kama wale wanaoweka special thread kwa watu wanaowaelewa, mbona kuna mdau kafungua special thread kwa ajili ya rayvan kwan naye analipwa??

Pia kuna wengine huko nyuma walifungua special thread kwa ajili ya diamond na mwingine alifungua special thread kwa ajili ya king majuto

Hiyo ndio kazi ya celebrities forum
saiz kuna
# teamTunda
[HASHTAG]#teamDiamond[/HASHTAG]
[HASHTAG]#teamAlikiba[/HASHTAG]
[HASHTAG]#teamZari[/HASHTAG]
[HASHTAG]#teamMange[/HASHTAG]
[HASHTAG]#teamMangeXhubby[/HASHTAG]
[HASHTAG]#teamKidoti[/HASHTAG]
[HASHTAG]#teamChura[/HASHTAG]
[HASHTAG]#teamLulu[/HASHTAG]
[HASHTAG]#teamMawora[/HASHTAG]

Alafu tuna jiita great thinker
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa mtogole na masaki
 
Unajipigia promo ujafikia kiwango cha kukulinganisha na Selena Gomez
 
Back
Top Bottom