Ibada ya kwanza
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 3,282
- 1,810
We ndo huyo tundra?nataka nikutafteHata hivyo huyo Selena nimempendelea sana hamfikii kwa sura Tunda hata kidogo labda idadi ya followers na mafanikio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ndo huyo tundra?nataka nikutafteHata hivyo huyo Selena nimempendelea sana hamfikii kwa sura Tunda hata kidogo labda idadi ya followers na mafanikio
Upunda ni uselena gomez ...Kabla sija ku like niambie upunda ndio maana yake nn??
Mimi siyo tunda mkuuWe ndo huyo tundra?nataka nikutafte
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] , kwa nn mkuu??Hiiii sasa sifa.
Kila siku tunda.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] , kwa nn mkuu??
Poa poa mkuu si mpost tena maana daaah, wadau mmeshikilia bango sanaKila siku tunda.
saiz kunaUshabiki tu kama wale wanaoweka special thread kwa watu wanaowaelewa, mbona kuna mdau kafungua special thread kwa ajili ya rayvan kwan naye analipwa??
Pia kuna wengine huko nyuma walifungua special thread kwa ajili ya diamond na mwingine alifungua special thread kwa ajili ya king majuto
Hiyo ndio kazi ya celebrities forum